Some times jaman tuache kuwakatsha tamaa wenzetu, kam hujui ni bora kukaa kmya kulko kukurupuka pale mwenzko anapoitaj msaada, Ni hv mkuu kwa utaratbu na baadh ya infor toka kwa washaur wa mgambo wilayani nafasi za jkt kwa intek ya pil 2013 znaweza tangazwa mwez wa 6 so we cklzia or for mor any infor tembelea ofisi za washaur wa mgambo wlyan kwako
me nafikir izo pesa zinazo2miwa na serikali kwa ajil ya mafunzo ya jkt kwa wanafunz wa kidato cha sita 2013 zifanyiwe mrad ambao mwisho wa xku 2tanufaika nao.....'
Wakuu nasikia mbali na watu kufa, ambalo inawezekana bahati mbaya, kwamba kuna ubakaji huko kwa mabinti kiasi kwamba wengi wanahofia kwenda wasijepata maradhi, hasa HIV. Je hilo ni kweli? Tusaidiane tuwatoe wasiwasi hawa mabinti.
Nimesikia zaidi ya vijana sitini (60) wamekufa,taarifa zimefichwa...pia kuna rushwa ya ngono,ubakaji na mazingira tatanishi ya mafunzo...mfano watoto wa kike kuingizwa maporini pamoja na wanaume kukata nkmagogo na kuchimba visiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.