Mafunzo mazuri ya muda

Mafunzo mazuri ya muda

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kampuni ya Excellence Management International Inawatangazia wanafunzi wa vyuo mbalimabli Tanzania na Afrika Mashariki kuwa kutakuwa na mafunzo ya muda yanayohusu masuala ya utafiti (Practical and Simplified Research Report Writing) yatakayofanyika katika Chuo cha Utumishi wa Umma (Tanzania Public Service College) tarehe 3-4/10/2013 kuanzia 3:30 asubuhi hadi 10:00 jioni. Ada ya mafunzo ni Shilingi za Kitanzania 15,000. Wahudhuriaji wote watapatiwa Vyeti siku 3 baada ya mafunzo kwisha. "Kuongeza Maarifa ni Maandalizi ya Kujipatia Fursa mbalimbali" Wote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0759-153 159 au 0653517475 au 0784-162275.
 
Back
Top Bottom