Mafundi wengi ni wezi na matapeli

Mpe contractor kazi mzee, hutojuta. We unaingia nyumbani na nguo tu.
Kwamba contractor hatumii mafundi hawa hawa?

Huko ni kuongeza gharama zisizo na msingi kwa nyumba ya kuishi
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 18
 
Hata kinyozi ni matapeli juzi nimemwambia aninyoe pank ya kipolisi matokeo yake kaninyoa kiduku naonekana panya road mtaani
[emoji23][emoji23] HV mkuu umemaliza Hilo gorofa lako njooni bas niungisge wall puttin na tuvifa vingine
 
Ngoja nimuulize Pius jins ya kupim Maru Maru nifahamu nipate idea tu


Ila vzr umesema kujuwa kila kitu au uwe na idea nacho kinapunguza uwezekano wa kupigwaa
 
Mimi ni fundi umeme ila sijui kama uwa naiba au inakiwaje.kama uwa naiba basi mwenyezi Mungu anisamehe kwa kweli.

Uwa namuandikia mteja bei za vifaa ambazo hata akienda dukani anazikuta izo izo, ila akiamua kunipa ela nikanunue basi uwa nina majicho yangu ya jumla ambayo najua sikosi kubaki hata na buku buku kwenye kila kifaa.

Kwa iyo mtusamehe mabosi zetu
 
udokozi na wizi wa rejareja ni mfumo rasmi wa maisha ya watanzania sema serikali haijatangaza rasmi tu.
 
Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongeza

kwenda hadi kutafuta hayo machimbo ni akili pia.

Wizi ni ule unaongeza vifaa au gharama kubwa tofauti na nei za dukani au unaficha vifaa na nyaya kwa manufaa yako.
 
Fundi wa fridge anakudanya eti gas ni ya kuongeza, kumbe ni low voltage, unatakiwa tu kununua stabilizer.
 
Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongeza

kwenda hadi kutafuta hayo machimbo ni akili pia.

Wizi ni ule unaongeza vifaa au gharama kubwa tofauti na nei za dukani au unaficha vifaa na nyaya kwa manufaa yako.
[emoji120] sawa mkuu uwa nafanya ivyo ili kulinda kazi yangu.maana uwa siwezi kumzidishia boss material au kumuongezea sifuri maana akija kujua basi unakuwa uwadui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitazama Kwa makini mafundi wengi wanaiba kutokana na uvivu wa mabosi wao......mtu unashindwa hata kufanya window shopping
 

Daaah!![emoji23][emoji23][emoji23]
Si utupie picha tuone hizo sura aiseeh!
Yaani nimecheka kinoma!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…