Eng Mose
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 242
- 322
Kuna sehemu leo hii nimepita nikasikia watu wanajadili kuwa eti mafundi ni waongo sana, tena ndio wanaongoza kwa uongo kwenye mahusiano, kazi na mengine, tena wakahusisha sana mafundi umeme+tanesco na mafundi wa furniture je ni kweli au wanasingiziwa tu.......