Nina galaxy trend, inachelewa sana kushika net uiwashapo.mkuu njoo pm
Korean version ,tulishesema kuhusu hizo simu...solution ya kujarbu ni kupata moded os au custom rom kisha ujaribuNaomba msaada pliz
Natumia simu ya samsung note 3,shida yake ni kwamba haiwezi kuaccess menu yoyote ya vifrushi au mpesa,ina load mpaka mwisho inakata,inaweza kuongeza salio na kuangalia salio tu.Naomba kujua shida yake ni nin na naweza kumalizaje hilo tatizo. Namba yangu ni 0716857764
Nazipataje hzo aiseeKorean version ,tulishesema kuhusu hizo simu...solution ya kujarbu ni kupata moded os au custom rom kisha ujaribu
Weka model yako hapa tuoneNazipataje hzo aisee
Samsung SM-N900KWeka model yako hapa tuone
Unatakiwa ku root hiyo simu kisha weka custom recovery kisha flash rom yakoSamsung SM-N900K
Samahani model yake ni hii SM-N9005Samsung SM-N900K
Huwez kunisaidia aisee kwa namna yoyote kama una idea na hiyo kituUnatakiwa ku root hiyo simu kisha weka custom recovery kisha flash rom yako
Kama hujawah kufanya hayo ni hatari ukifanya mwenyew
Rom hii apa Resurrection Remix ROM w/ Android 6.0.1 for Galaxy Note 3! [Marshmallow] | GalaxyNote3Root.com - Part 2