ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 670
Habari za mda huu wakuu, nina gari yangu mazda demio old model. Imepatwa na tatzo la gear box, gari ilikua inapiga kelele kama vile gia zinaingiliana.
fundi wa kwanza alinambia bearing zimeisha nikanunua mpya na alipojarbu kueka bado tatzo likaendelea, nikamplekea fundi mpya na yeye pia akashindwa kusolve tatzo na kusema kuwa gear box imekufa, nkafkia makubaliano kuw nitafte mpya. Lakini mpaka mda huu hyo gear box sijapata nmezunguka gerezani, ilala kote hawana.
Kwa anayejua mtu anyeweza kunisaidia kupata hii gear box anisaidie, au kama kuna mtu anamjua fundi mtaalamu wa mazda anisaidie ili kama naweza kupata gear box inayoingiliana na hii..
Engine yake ni D3.