Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
Kwanini nikidownload Firmware nikija kwenye sp tools nikitaka kuaadi file halionekani ila nikirudi kwenye download file naliona
changamoto firmware inakuwa haionekani kwenye proglam ya kuflashiaAngalia sm yako inaikibali version uliyoidownload kabla ya kupakua file husika