Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,165
Reaction score
8,959
Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma

Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi

Ni kama mafundi wameelemewa

Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako

Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko

Haya sasa wew fundi mjenzi
Fundi rangi
Fundi bomba
Fundi Tailizi
Fundi Pevings
Fundi Umeme
Fundi selemara
Fundi Chomelea mageti
Fundi mremba gypsum
Mchimba choo
Mchomba kisima
Fundi Sola
Fundi Kamera cctv
Fundi nyaya security
Fundi vitasa
Fundi mwezekaji nyumba
Fundi shades za parking
n.k.
Kazi kwako habari ndio hiyo
 
Toa namba ya jamaa Yako ili awaelekeze vijana kwenye masaiti..unataka vijana wanaotoka mbali wakifika Dodoma wakazurure kama mbuzi wa shehe?
 
Toa namba ya jamaa Yako ili awaelekeze vijana kwenye masaiti..unataka vijana wanaotoka mbali wakifika Dodoma wakazurure kama mbuzi wa shehe?
masaiti mengi tu cha muhimu usijifungie kwenu, jimiksi
 
Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma

Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi

Ni kama mafundi wameelemewa

Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako

Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko

Haya sasa wew fundi mjenzi
Fundi rangi
Fundi bomba
Fundi Tailizi
Fundi Pevings
Fundi Umeme
Fundi selemara
Fundi Chomelea mageti
Fundi mremba gypsum
Mchimba choo
Mchomba kisima
Fundi Sola
Fundi Kamera cctv
Fundi nyaya security
Fundi vitasa
Fundi mwezekaji nyumba
Fundi shades za parking
n.k.
Kazi kwako habari ndio hiyo
Hasa Mafundi wa Kazi za Finishing kama tiles, umeme, plumbing n.k wanapatikana kwa shida sana Dodoma.
 
Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma

Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi

Ni kama mafundi wameelemewa

Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako

Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko

Haya sasa wew fundi mjenzi
Fundi rangi
Fundi bomba
Fundi Tailizi
Fundi Pevings
Fundi Umeme
Fundi selemara
Fundi Chomelea mageti
Fundi mremba gypsum
Mchimba choo
Mchomba kisima
Fundi Sola
Fundi Kamera cctv
Fundi nyaya security
Fundi vitasa
Fundi mwezekaji nyumba
Fundi shades za parking
n.k.
Kazi kwako habari ndio hiyo
Tairizi ndio nn husikia sana bt sijapata wanamaanisha nn
 
Tairizi ndio nn husikia sana bt sijapata wanamaanisha nn
tiles
iyo aliyoshika uyo dada apo
Screenshot_20250502-103422_Chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom