Mafundi uashi wana laana?

Unaambiwa Fundi mkweli ni kinyozi tuu
 
Atanyea yeye c mimi

Haya... kama unaruhusiwa kujichukulia sheria mkononi mwako utanyea nakwambia. Kwanza nikutahadharishe, fundi mwenyewe afya yake ya gongo na mihogo... ngumi moja iliyoshiba puani inatosha kumsindikiza ahera.... unajitafutia matatizo. Solution sio kumpiga
 
Ni FUNDI mzuri tatizo lazima ushinde hapo hapo ukitoka tu kashaiba Mimi ni MTU wa tano kumpasua baada ya kugundua kauza cement[emoji35]

Achana naye bwana, tafuta mwingine huyo fundi hakufai... unajitafutia kesi. Hapo shetani anakutafutia janga, pesa upate kwa shida jitu likuibie... achana naloo
 
Ktk hili kuna mambo mengi yakujiuliza kabla yakusema kua wana Laana,Nijibu yafuatayo je makubaliano yenu ya Awali yalikuaje,Je mliandikishana kwa mkataba au makubaliano ya mdomo? Kwanini utoe hela yote hiyo wakati Mimi kwa uzoefu wangu wngu najua hela hutolewa kwa awamu kadri ujenzi unavyoendelea,mwisho kabisa nini Lengo lako lakuleta Huu Uzi au ulitaka tujue kua Unajenga?
 
Blocked
 
Blocked
 
Umekutana na boya!, ungekutana na mtata, ungekula za chembe na ubosi wako...huo utemi wa kizamani....
 
Huyo sio fundi.

Ni mlevi. Sasa na ww kwanini unaingia mkataba na mlevi?!
 
Kwanini hutaki mimi nikanunue mwenyewe hayo mahitaji?! Ni kwasababu umeweka cha juu ili utokee hapo hapo! Mafundi wa kibongo hovyo sana, kwanini usiridhike na labor charge yako unataka upige cha juu kwenye vingine?
 
Kwanini hutaki mimi nikanunue mwenyewe hayo mahitaji?! Ni kwasababu umeweka cha juu ili utokee hapo hapo! Mafundi wa kibongo hovyo sana, kwanini usiridhike na labor charge yako unataka upige cha juu kwenye vingine?
Eti akanunue materials mwenyewe, hivi nani ataruhusu hiyo kitu? Nipe quotation, tuelewane labor charge, nitanunua kila kitu na kukileta site.

Mafundi wa hivi hata kufanya nao kazi sitaki.
 
Mimi ni mtumishi muda mwingi nakuwa job ndo chance ya kunitia hasara pesa yenyewe ninekopa bank nipate Kwa kujihifadhi na wanangu halafu unaleta uhuni wa kijinga akipona nampasua tena makusudi[emoji35] [emoji16]
mkuu sasa mbona kama umedhamiria kuua? dooh🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…