UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Ni FUNDI mzuri tatizo lazima ushinde hapo hapo ukitoka tu kashaiba Mimi ni MTU wa tano kumpasua baada ya kugundua kauza cementUkishamaliza kuuchakaza uso wake jiandae kunyea ndoo
Ndio uuze cement?Maboss mnazingua unaambiwa leta mifuko 20 unaleta 15
Mimi ndo sipendagi mambo haya ya kununuliwa materials na boss, nkija site kwako nakupigia total materials and cost plus na hela yangu ya kazi. Then nanunua hayo materials as per estimation afu wewe unakua na store keeper wako kuhakikisha kilichokadiriwa ndo kimenunuliwa then unanilipa pesa yangu, ndo raha ya kufanya kazi na mafundi wenye mitaji yao na taaluma zao.Mtafute Fundi Wa namna hii hakika hutojutiaNdio uuze cement?
Atanyea yeye c mimiUkishamaliza kuuchakaza uso wake jiandae kunyea ndoo
Maboss mnazingua unaambiwa leta mifuko 20 unaleta 15
Mimi najenga Kwa kuunga unga halafu unauza cement unajua pesa nilivyozipata?Mimi ndo sipendagi mambo haya ya kununuliwa materials na boss, nkija site kwako nakupigia total materials and cost plus na hela yangu ya kazi. Then nanunua hayo materials as per estimation afu wewe unakua na store keeper wako kuhakikisha kilichokadiriwa ndo kimenunuliwa then unanilipa pesa yangu, ndo raha ya kufanya kazi na mafundi wenye mitaji yao na taaluma zao.Mtafute Fundi Wa namna hii hakika hutojutia
Chakaza mbaba maana hakuna namnaHi great thinkers. Leo mchana nimejikuta namtamkia FUNDI uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni.Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki nimemvimbisha mdomo Kwa ngumi. Tatizo kala 3/4 ya pesa yote halafu anakuja site anashinda kilabuni.Cement kila Mara anakuja eti imeisha kumbe anauza Mae. Si chini ya mafundi wanne wameniliza Leo mbwaimbwai nitahakikisha USO unachakaa.Hivi huwa wana laana? Mi siwaelewi.
Ujenzi Wa kuungaunga ndo changamoto zake, mafundi wezi sana na wako very smart katika mambo haya........Nikushauri hivi, kwa huo ujenzi wako Wa kuunga hakikisha kila step utakayokua unataka kupiga unakuwa na muda pia Wa kuwepo site, na jitahidi mafundi wawepo Wa kutosha ili kusave time ya wewe kuwepo site.Mimi najenga Kwa kuunga unga halafu unauza cement unajua pesa nilivyozipata?
Unatakiwa kuhudhuria hapo, kama sio wewe basi MTU wako wa Karibu sana. Mie nipo site mpaka kinasomeka. Mifuko IPO kwenye Gari natoa mmoja mmoja, ikiisha unajua imeisha.Achaa jamaa awatie nakozi tu maana hamna namna, kibanda changu kimeishia njiani kisa hao wapumbavu, room tatu za kulala katumia mifuko 100 ya cement!!!
Mimi ni mtumishi muda mwingi nakuwa job ndo chance ya kunitia hasara pesa yenyewe ninekopa bank nipate Kwa kujihifadhi na wanangu halafu unaleta uhuni wa kijinga akipona nampasua tena makusudiUjenzi Wa kuungaunga ndo changamoto zake, mafundi wezi sana na wako very smart katika mambo haya........Nikushauri hivi, kwa huo ujenzi wako Wa kuunga hakikisha kila step utakayokua unataka kupiga unakuwa na muda pia Wa kuwepo site, na jitahidi mafundi wawepo Wa kutosha ili kusave time ya wewe kuwepo site.