Sasa mkuu, nna HP ProBook hapa yenyewe nilifungua Microsoft Excel ikaweka mistari na mda mwingine ikawa screen inakuwa nyeupe kuona hivyo nikaizima kwa kuhold power button, kuja kuiwasha inakuwa inawaka na kuzima lakini kioo hakionyeshi tatizo laweza kuwa nini? Samahani lakini kwa kutoka nje ya madaMm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim
Ila mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani
Okwy hiyo issue hukutakiwa kuforce kuuizima file zina corrupt na huwa inaleta short circuit, chakufanya, fungua pc yako, tafuta mswaki au brash ni liquid inaitwa benzene isugue motherboard yote kwamswaki na kimiminika hicho then anika mpk ikauke , ukiirudishia itawaka vizur tuSasa mkuu, nna HP ProBook hapa yenyewe nilifungua Microsoft Excel ikaweka mistari na mda mwingine ikawa screen inakuwa nyeupe kuona hivyo nikaizima kwa kuhold power button, kuja kuiwasha inakuwa inawaka na kuzima lakini kioo hakionyeshi tatizo laweza kuwa nini? Samahani lakini kwa kutoka nje ya mada
Okwy hiyo issue hukutakiwa kuforce kuuizima file zina corrupt na huwa inaleta short circuit, chakufanya, fungua pc yako, tafuta mswaki au brash ni liquid inaitwa benzene isugue motherboard yote kwamswaki na kimiminika hicho then anika mpk ikauke , ukiirudishia itawaka vizur tuSasa mkuu, nna HP ProBook hapa yenyewe nilifungua Microsoft Excel ikaweka mistari na mda mwingine ikawa screen inakuwa nyeupe kuona hivyo nikaizima kwa kuhold power button, kuja kuiwasha inakuwa inawaka na kuzima lakini kioo hakionyeshi tatizo laweza kuwa nini? Samahani lakini kwa kutoka nje ya mada
hilo tatizo lipo sana na hiyo inachangia unakuta mtu solution moja unatumia hata miezi miwili kuipata harafu anawaza mtu ni mfundishe siku moja.Asante kwa kuliona hili alafu utakuta wala hatukai kata moja
ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.Mkuu ubarikiwe sana tena sana kwa kuleta huu uzi hapa.
Maana wengi ndo tunaianza hii kazi kupitia uzoefu wa jamaa zetu wa karibu ijapokuwa ni jambo jema ukipitia japo kozi ya eletroniki Veta.
Asante mkuu
hilo tatizo lipo sana na hiyo inachangia unakuta mtu solution moja unatumia hata miezi miwili kuipata harafu anawaza mtu ni mfundishe siku.
lakini inafaa ifike wakati mafundi tuelimike na tuwe na moyo wa kujitolea.
kama mafundi wote duniania wangekuwa hawana moyo wakujitolea inamaana hata sisi wengine tungesipo kuwa mafundi simu.
Kwangu tatizo kubwa ni kutrack njia simu zingine hazionyesh njia unashtukia tu ipo pembeni mwa CPU OR POWER IC kutokea katika capacitor.ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.
na kama simu hauielewi vizuri ni bora ukaingia youtube na ukauliza ni namna gani ya kuifungua.
na hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.Kwangu tatizo kubwa ni kutrack njia simu zingine hazionyesh njia unashtukia tu ipo pembeni mwa CPU OR POWER IC kutokea katika capacitor.
Kujua keypad lazima njia zake zipitie wapi kwenda wapi kutegemeana na simu,njia za network,njia za Lcd,njia za chaji na n.k
Hah hah hah mkuu umenifanya nicheke kama mazuri vileeee.na hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.
ni kweli na ufundi somtimes lazima ukubali kula na wenzako. na lazima ukubali kujifunza kutoka kwa mafundi wengine na kama unavyo jua ufundi hauna mwisho.Hah hah hah mkuu umenifanya nicheke kama mazuri vileeee.
Bado sijakumbana na simu nyingi za tachi mara nyingi huwa nakumbana na hiz za batani hata hivyo simu nikijua siwez pa kuanzia huwa sioni uvivu kumpelekea mjuz zaid kimya kimya huku nikijifunza kupitia kwake.
mkuu, unapatikana wapi? Mi nipo Dar kuna kazi nataka nikuletee.. NB; Mimi najihusisha na Softwarena hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.
NB..Nota Bene.. Huandikwa kabla ya neno muhimu ili kumpa msomaji uzingativuhiyo NB ndio nini?
Mimi ni fundi wa software na hadware pia nilianza na hardware Nina nafasi ya kujibu kotekote lakini nitakuwa na mipikakazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.
kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.
tatizo linakuwa wapi?
inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.
kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.
sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.
na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakiikimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote uliwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.
mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.
siri ya ufundi simu.
1 ni kujua kuitumia mita. 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.
kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.
tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya buttun ya kujifomart
lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno
fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5
harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3
na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe sotuion kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.