Mafundi simu wa moshi wanaringa sana

Mafundi simu wa moshi wanaringa sana

babuja

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
25
Reaction score
63
Sijawai kuona watu wanaorinda kama mafundi simu wa moshi mjini pale stand ya mabasi halafu hata elimu hawana basi tu ujanja ujanja mbwa wale stupid
 
ha ha ha.. wale kama wasomari hivi! wanajifunga na viremba vya kiislam

hawana maana kabisa
 
Sio hao tu mkuu mi kule ndio home. Mwaka 2008 nimeenda pale kujenga sasa nikaenda pale stend ya mboya kwenye zile tipper za mchanga kuelewana nao. Aisee huwez kuamin tumeshindwana na jamaa mmoja wote wakanitolea nje ilibid niande arusha hao jamaa ni kama wapemba hawana haraka. Ya maisha na kibur kingi niliwachukia sana.
 
Back
Top Bottom