Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

aaaaaa so hii uki download ina kuuwa ni complite kabisa si ndio au
Inakua complete kama tool tu..sema utatakiwa kuinstall na drivers ili simu ziweze kua detected na hiyo tool
 
Msaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye pichaView attachment 1462789
Ukiona hivi ujue preloader iliyoopo kwenye firmware hai match na iliyopo kwenye simu, Yaani kwa lugha rahisi tuseme build number ya ROM unayotaka kuflash haiendani na inayotakiwa...
 
Broo naona imezingua km utanisaidia nikuletee binafsi nimekwama asee inaleta hivi babu View attachment 1465682
Issue hapa ni drivers tu... Sidhani kama kipindi unachomeka simu yako ili install drivers zake, ukiona hivyo simu haitaki kuinstall drivers zake kwenye mashine just press power button tu kuforce tukio kama simu haiwaki kabisa, Kama ina uhai press vol +/-..
 
Waungwana kwema humu.

Nina samsung s6,ilidondoka.

Baada ya kudondoka nikaitumia kawaida tu,shida ikaanz baada ya kuisha charg.

Nikiweka charg haionyeshi kama inapandisha moto ile kwa % ,inaonesha alama tu kama inaingiza.

Baada ya muda kidogo inaleta alama ya pembe tatu ,ile ya warning.

Leo nmeiacha kwenye moto ikifanya hivyo kwa muda mrefu,nilipowasha ikawaka ikamaliza lakini haikukaa ikazima.

Je tatizo itakua ni nini wajuzi wa mambo,na kama matengenezo basi fundi ajitokeze nimpelekee
 
Pole kwa changamoto, tafadhari onana na fundi wa karibu yako akubadilishie betri shida yako itaisha.
 
Nahitaji fundi anaeweza kufanya Password Unlock ya Oppo A31 2020 CPH2015, simu ni mpya haina google account. Kama yupo fundi anaepatikana Dar itakua poa zaidi
 
Mod naomba huu uzi msiunganishe na mwingine hapa nataka tujadili yale matatizo sugu ya simu na namna ya kuyatatua kama kureball ic kuamisha ic kwenye circuit nyingin Yaani tu base kwenye vitu professional
021E2A0C-F3C1-40AE-9030-6130A8CF3620.jpg

IMG_2164.jpg

IMG_2089.jpg

IMG_2067.jpg

IMG_1825.jpg

IMG_1800.jpg
 
Bado niko local sana ila ndio naagiza mitambo now na basi kwenye android sana na baadhi ya iPhone matoleo ya nyuma n baada ya miaka 1 au 2 nitabase na latest phone
 
Ngoja waje

Kuna yale matatizo kina fundi Maiko wa nasema haifai badilisha machine nataka kuwaambia simu iliyozima kama haijapigwa moto inawaka simu inaweza zima ghafla kumbe ime corrupt file ni ya ku repair flash memory inagongwa moto nilichogundua kwenye simu hakuna simu imeshindikana vifaa ndio changamoto
 
Back
Top Bottom