Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

Unayumba mkuu, Sasa nenda kadisable drivers signature,kisha install vcom drivers ,ukimalza nitataka unionyeshe drivers kama umeziweka kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Eehe hapo nafanyaje mkuu kinachofata
JPEG_20200601_151156_3148858523798798741.jpg
 
Hapo fresh

Sasa kafungue miracle ,run as administrator ile loader kisha readinfo Kisha click start.. then chomeka sasa simu..make sure simu imezimwa

Kama kila kitu kipo sawa simu itakua detected na info italetwa...utapiga picha nione

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo naona imezingua km utanisaidia nikuletee binafsi nimekwama asee inaleta hivi babu
JPEG_20200601_162220_5117039083896562043.jpg
 
Ngoja nione hitimisho maana hizi F1 pasua kichwa
 
wazee hivi hakuna altenative yeyote hata ya kugushi kwa ajili ya ku-run whatsapp kwenye microsoft phones?
 
mbona mb zake ndogo sana maana mimi nakubuka kuna siku niili download mahali ila ni kama gb 900 hivi kama sija kosea ilikuwa complete ila mwaka juzii,,,, saizi ndo nataka nitafute tena.
Hapana mkuu vcom drivers ni ndogo sana...utakua umechanganya...kwanza GB900 mkuu sio mchezo ujue
 
Hapana mkuu vcom drivers ni ndogo sana...utakua umechanganya...kwanza GB900 mkuu sio mchezo ujue
Sorry nilikuwa na maana ya MB900... ila kwangu ma file kwangu yana goma kila nikiweka yana liwa... na window defender
 
Sorry nilikuwa na maana ya MB900... ila kwangu ma file kwangu yana goma kila nikiweka yana liwa... na window defender
Ni file gan hiyo mkuu ulkuta ina mb 900? Hiyo window defenders unatakiwa ku add folder lako la crack kweny exclusion ya windows defender then itakua hailigusi hilo folder
 
Hiyo ni tool mkuu...miracle thunder..mim nilimpa jamaa drivers tu...ndio zile ndogo sana in size.....
aaaaaa so hii uki download ina kuuwa ni complite kabisa si ndio au
 
Back
Top Bottom