kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,031
Haya sasa fuata ile link yenye maelekezo ya kuistall hizo driversNa hii hapaView attachment 1465447
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa fuata ile link yenye maelekezo ya kuistall hizo driversNa hii hapaView attachment 1465447
PoaHaya sasa fuata ile link yenye maelekezo ya kuistall hizo drivers
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayar nishafungua miracle loader
Drivers umeinstall?Tayar nishafungua miracle loaderView attachment 1465493
Tayar nimerudisha muda nyuma mwaka 2013Drivers umeinstall?
Sas start botton hapo si unaona haipo active,
Nenda kachange mwaka kweny date ya window yako weka mwaka 2013..kisha ndio ufungue miracle loader upya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifuatacho nini hapo mkuuDrivers umeinstall?
Sas start botton hapo si unaona haipo active,
Nenda kachange mwaka kweny date ya window yako weka mwaka 2013..kisha ndio ufungue miracle loader upya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hapo
Na hii
Click read info hapo kisha click start alaf chomeka simu ikiwa umeizima tayar...kisha post results hapa zitazokuja
Inaleta hivi mzee babaClick read info hapo kisha click start alaf chomeka simu ikiwa umeizima tayar...kisha post results hapa zitazokuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu hapo,drivers uliweka?Inaleta hivi mzee babaView attachment 1465550
Driver gan tena bro
Babu si nimekwambia uweke vcom drivers ? Tena nmekupa link ya pili baada ya kuona miracle drivers umeshindwa kuweka? Na nimekupa na link yenye maelezo piaDriver gan tena bro
Umempiga nani mkuu hiyo simu?.Nadhani utabadilisha na IMEI # kabisaMsaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye pichaView attachment 1462789
Daaah ckuelewa nduguBabu si nimekwambia uweke vcom drivers ? Tena nmekupa link ya pili baada ya kuona miracle drivers umeshindwa kuweka? Na nimekupa na link yenye maelezo pia
Na nikakwambia hadi udisable drivers signature ukasema unajua,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayumba mkuu, Sasa nenda kadisable drivers signature,kisha install vcom drivers ,ukimalza nitataka unionyeshe drivers kama umeziweka kwelDaaah ckuelewa ndugu
Unayumba mkuu, Sasa nenda kadisable drivers signature,kisha install vcom drivers ,ukimalza nitataka unionyeshe drivers kama umeziweka kwel
Sent using Jamii Forums mobile app



mpwa mwelekeze vema huyo hajakuelewampwa mwelekeze vema huyo hajakuelewa
nimempa step zote ,hadi link za maelezo ,sasa ananiulza tena drivers gani...ngoja niende nae taratbu tuMkuu why usimpe miracle drivers pekee then afanye installation maana ni kazi rahisi sana au connect anydesk uende chap .nimempa step zote ,hadi link za maelezo ,sasa ananiulza tena drivers gani...ngoja niende nae taratbu tu
Sent using Jamii Forums mobile app