Mafundi simu piteni hapa

Mafundi simu piteni hapa

Liscky

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
13
Reaction score
6
Naulizia ni wap naweza kupata stencill na soldering paste kwaajili ya relballling ya Ic za cm
 
Hizo vitu ni msaada sana ila universal wakati mwingine inaweza kukuzungusha hata mara tatu ndipo ukapatia yaani ni ya kubahatisha. Ukipata stencils ambazo kwa asilimia kubwa ni specific kwa bga nyingi mambo huwa barabra.

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom