Mafundi seremala acheni hii tabia haipendezi

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
6a4cf6e709295f257186bf9483832202.jpg
 
Hapo ata mm nalala kabisa,tatizo litaanza pale watakapoweka yale mapambo sijui ndan kama masponji meupe,hapo siingii
 
Mkuu yaani mteja ameagiza halafu unakuta fundi amejipumzikia humo kama alivyokutwa huyo.
Siku hizi hayaagizwi unayakuta tayari ready made unajichagulia. Zamani majeneza yalikuwa yanachongwa mtu anapokufa na fundi alikuwa anakwenda kumpima marehemu kabla ya kuchonga. Siku hizi yapo ya size zote. Ninyi mnaokwenda kukunua ndio mnatakiwa mjue ukubwa wa marehemu wenu au vinginevyo mnachukua free size
 
hali ilivyo mbaya hata marehemu wamepungua kwa mafundi wauza majeneza.
jpm kweli kabana kila kona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom