Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,298
- 6,135
Wewe limekupata kama lililonipata mimi, kuna kipindi nilipungua sana, nikampelekea fundi anipunguzie suruali nane, nikamwelekeza fresh akanipima nikamlipa, nilipokuja chukua zile suruali aiseee zilikuwa model zile tight za vijana wa kisasa na mimi sivaagi style hizo. Ikabidi nigawe tu maana kulikuwa hakuna namna, mambo ya kutaka kuvua suruali mpaka uombe msaada siweziHii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!
Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.
Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na mafundi nguo, alafu inaonekana hawa mafundi nguo wanatabia za kufafana, maana fundi wa mara ya kwanza alinifanyia ujinga kama huu... anachukua vipimo then haandiki pembeni... kuja kuchukua nguo amefanya asichoambiwa!
Ulishawahi kukumbwa na mkasa kama huu? Tueleze ilikuaje na ulichukua uamuzi gani.
Maana hapa napanga bajeti ya kununua suruali zingine.
tatizo la hawa mafundi wanadhani kila raia anapendelea kuvaa modoWewe limekupata kama lililonipata mimi, kuna kipindi nilipungua sana, nikampelekea fundi anipunguzie suruali nane, nikamwelekeza fresh akanipima nikamlipa, nilipokuja chukua zile suruali aiseee zilikuwa model zile tight za vijana wa kisasa na mimi sivaagi style hizo. Ikabidi nigawe tu maana kulikuwa hakuna namna, mambo ya kutaka kuvua suruali mpaka uombe msaada siwezi
ameniboa sana huyu fundi, suruali inabana kuanzia magotini kushuka chini!ππππ pole
fundi nguo wanaudhi, kuwa makini siku ukiwapelekea nguo.dah!? ngoja nikomae na mabwanga yangu.
π€¨π€¨unanicheka! we ni fundi nini?ππ
daah! huenda ikawa ni sababu ya kuboronga, next time i will do that.Tatizo mnawalipa kabla ya wao kuifanya kazi mliowatuma,hapo hata akiboronga huna cha kumfanya,jaribuni kua mnawalipa baada ya wao kumeet customer requirement.
Hapana bossunanicheka! we ni fundi nini?
Usipomlipa mapema hakushonei ng'ooTatizo mnawalipa kabla ya wao kuifanya kazi mliowatuma,hapo hata akiboronga huna cha kumfanya,jaribuni kua mnawalipa baada ya wao kumeet customer requirement.
duuh! ilikuaje mamii?Hapana boss
Ila tabia za mafundi nazijua
Root cause ya hilo tatizo ni kwavile mmezowea kuwatangulizia malipo kabla ya kazi,kama ni lazima kumlipa atleast mpe 50% za gharama ya kazi,zingie unamalizia akimaliza kazi.Usipomlipa mapema hakushonei ng'oo
Kuna wengine ni waaminifu ukiwalipa mapema wanakushonea kwa wakatiFundi mwaminifu ni Kinyozi tu.
ππ
Kuna fundi alishawahi nikera sina hamu naye.duuh! ilikuaje mamii?
yeah hii pia ya kuwapa nusu imekaa poaRoot cause ya hilo tatizo ni kwavile mmezowea kuwatangulizia malipo kabla ya kazi,kama ni lazima kumlipa atleast mpe 50% za gharama ya kazi,zingie unamalizia akimaliza kazi.