Mafundi naomba kujuzwa kwa anayeijua Pikipiki "Mahindra Century"

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
404
230
Ndugu zangu.Nimependezewa na hicho chombo Mahindra centuro .Je,ni Pikipiki nzuri kiubora na kunusa mafuta?
Mwenye kuijua Naomba atwambie maana nahitaji kununua nimezikuta mahali zikanivutia kimuonekano wa nje.
1493491210023.png
 
Ndugu zangu.Nimependezewa na hicho chombo Mahindra centuro .Je,ni Pikipiki nzuri kiubora na kunusa mafuta?
Mwenye kuijua Naomba atwambie maana nahitaji kununua nimezikuta mahali zikanivutia kimuonekano wa nje.View attachment 502762
mahindra ziko gudi sana mkuu, ni boxer like maana zote ni product za mhindi.....ila mahindra nyingi ni 125 while boxer ni 150
 
JARIBU MKUU , ila boxer matoleo ya hivi sasa wanauza jina si pikipiki imara. ama pia spare zake ni ghali mno utafikiri unanunua spare ya gari.
 
Back
Top Bottom