Mnasumbua kwenye malipo.Mbona kila fundi ni muongomuongo tu, tapelitapeli tu.
Uwe fundi nguo, fundi ujenzi, ukishaitwa fundi tu ni kama vile laana, why?
Kwanini mpo hivyo?
Kwanini mnaharibu sifa zenu?
Tatizo ni nini?
Fundi mkweli ni kinyozi tu, nae ni kwasababu humuachii kichwa chako.Mbona kila fundi ni muongomuongo tu, tapelitapeli tu.
Uwe fundi nguo, fundi ujenzi, ukishaitwa fundi tu ni kama vile laana, why?
Kwanini mpo hivyo?
Kwanini mnaharibu sifa zenu?
Tatizo ni nini?
Kuna kinyozi anaita makos alimnyoa polisi nusu alafu akamwambia hebu naomba malipo kabisa shemeji yako akanunue mafuta aendelee kupika. Polisi akampa hela jamaa akatoroka akaenda kunywa gongo hajarudi tena, yule askari ikabidi aingie kazini akiwa kanyolewa nusu na kumlazimu kuvaa likofia mwanzo mwisho maana ilikua ndiyo muda wa kureport kazini hakua na uwezo wa kwenda kumalizia saloon nyingine.Fundi kinyozi?
Kwa mtazamo wangu.Mbona kila fundi ni muongomuongo tu, tapelitapeli tu.
Uwe fundi nguo, fundi ujenzi, ukishaitwa fundi tu ni kama vile laana, why?
Kwanini mpo hivyo?
Kwanini mnaharibu sifa zenu?
Tatizo ni nini?
Sio wote tuko hivoMbona kila fundi ni muongomuongo tu, tapelitapeli tu.
Uwe fundi nguo, fundi ujenzi, ukishaitwa fundi tu ni kama vile laana, why?
Kwanini mpo hivyo?
Kwanini mnaharibu sifa zenu?
Tatizo ni nini?