Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,260
- 2,867
Oil nunua mwenyewe kwenye maduka yanayoaminika pamoja na filter yake zen nenda kwa fundi ukiwa vitu vyako na usimamie show hadi amalize.Ni matumain yangu hamjambo.
Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil...
Ni vizur ukamuelekeza spec za vyote unavyo tumia na kusimamia kama vimekuja na ni OG. sio wote wamesomea ukumbuke wengi wamepata tu uzoefu wa kupiga pesa kupitia garage kisha wakafungua zao.Ni matumain yangu hamjambo.
Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil.
Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na muungurumo sio wa kawaida so nliupuuzia.
Basi bwana nimefika mwisho wa safari naona taa ya oil inawaka na kuzima ndo nikajua nimekausha oil.
Iko hivi nlienda gerej flan hizi classic nikapewa oil flan hivi ya kijan nikaambiwa inaenda km elf10. Basi nimekamua hadi elf 8 na ushee ndo mambo haya yakatokea kwa wiki huwa natembea almost 600km.
Kumbe oil ni ya 5000km.
Nikaweka lita moja nikampelekea fundi amwage wamenifanyia service fresh tu. Imefika kuweka oil nikamwwmbia natumia castro mineral oil nikijua anafaham namba ya oil, gari yangu inatumia 5W30, kuja kushtuka ameweka 20W50.
Nlivyocheki kopo lenyewe kama vile seal ni ya kunjunga nikajua nishapigwa na kitu kizito hapa maana castro seal yake huezi toa na vidole hata siku moja nliona katoa na vidole tu kirahis nahis washenzi waliniwekea foil ndo ikawa seal..
Laki nzima ikatembea kindezi nliondoka hapo nikafuta na namba ya fundi. Ikumbukwe huyu fundi alinipiga sega japo ni kwa hiari yangu aliniambia limeziba
Mzungu alikuwa na akili sana kuweka level sensor kwenye Oil na Coolant.Ni matumain yangu hamjambo.

Vyote vinafanya kazi ndo vilionyesha imeishaMzungu alikuwa na akili sana kuweka level sensor kwenye Oil na Coolant.
Maana the moment unawasha tu gari itakupa warning.
Huwezi uwa engine ya gari ya mzungu kwa kukosa oil au coolant labda kwa kutaka mwenyewe.
Hukunielewa, Gari ya kijapani haikuoneshi oil ikiwa imeisha.Vyote vinafanya kazi ndo vilionyesha imeisha
Niuzieni gari Basijapo Nami niweze kuchangia nyuzi Kama hizi
Unauza sh ngapi tajir kubwaauna shingap