Mafundi cherehani wahitajika

kemi2011

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
735
290
Nahitaji mafundi cherehani watatu ambao ni mafundi haswa wa nguo za kike na mmoja wa nguo za kiume hasa mashati.

Wasiliana na Mimi kwa namba 0769334999
 
Nilijua unahitaji fundi wa kutengeneza charahani kumbe wa kushona nguo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom