Kuna mtu mwenye fununu kuhusu kuhujumiwa kwa TTCL na wakubwa na baadae kuundwa Celtel Tanzania Ltd na hatimaye kuisababishia maisha magumu TTCL yanayo ikabili sasa