Mafisadi wahaha kuwachafua wenzao

Hawa mafisadi wamekamata kila angle. Hata hao TCRA sio ajabu wamewekwa mfukoni mwa hao mafisadi kama serikali ya JK ilivyowekwa humo.

Mkuu,
Rostam ni balaa, ni jangili na maafia wa nguvu. Jamaa kahakikisha anakamata kila idara nyeti. Habari toka chanzo cha uhakika zinasema kuwa hata mkuu wa usalama wa taifa yuko mfukoni mwake pia.
 
Mkuu,
Rostam ni balaa, ni jangili na maafia wa nguvu. Jamaa kahakikisha anakamata kila idara nyeti. Habari toka chanzo cha uhakika zinasema kuwa hata mkuu wa usalama wa taifa yuko mfukoni mwake pia.

Acha utani! Basi hatuna kwa kukimbilia kama mambo ndo hivyo!
 
Hii ya kukamata mfumo nilikwa siijui. Jamaa ana mfuko mpana na mrefu kama wa yule Mgiriki wa enzi za Mwalimu Nyerere ambaye yeye mwalimu alimshughulikia na kumhamisha nchi!
 
TBC mbona hawaoneshi chadema wanavyotoa elimu ya uraia na wakati wao si mali ya ccm? Tbc ni mali ya umma waache unafiki tbc.
 
Mimi nawasikitikia hao waswahili wenzetu waliogeuzwa Yuda kwa kukubali vipande thelathini na kuusaliti utashi na uzalendo wao. Leo hii wabunge wamekuwa cheer boys na watu wanaokubali kwenda front kupigania maslahi ya mafisadi wakati huo wao wenyewe wametulia kule kwenye back bench wakisikiliza watumwa wao wakiwararua wazalendo wenzao. Kweli mwisho wa dunia umekaribia!
 
Back
Top Bottom