Mafisadi Tunataka Mashirika yetu yarudi kama Zamani

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,033
Mafisadi mmetuulia mashirika yetu tulioachiwa na Baba yetu wa taifa na kuongezeka kwa kasi ya watanzania wasio na ajira. Mmetuulia Shirika letu la ndege Air Tanzania, Viwanda, UDA na bado Mnatanga kuliangamiza Tanesco, Nuwa, Muhimbili ilikuwa ndio Hospital inayoheshimika lakini sasa imedharaulika, Elimu yetu ilikuwa nzuri sasa mmeiua kwa kuwa watoto wenu hawasomi Tanzania. Mnatutafuta nini Mafisadi? Tuachieni nchi yetu au mnataka tuwachomeni moto ndio mmjue kuwa tumechoshwa na ujinga wenu? Tumekuvulieni vya kutosha na tumechoka na ngonjera zenu za kutuimbia wimbo wenu wa Taifa wa Amani na Utulivu wakati huku mnaitafuna nchi yetu kwa kisingizio cha Amani na Utulivu, mnataka sisi tukae kwa Amani na Utulivu huku sisi tusiwasumbue wakati mnaiytafuna nchi yetu? Tuachieni nchi yetu tuijenge ondokeni Kikwete, membe, Lowassa, Rostam, Nimrod, Mramba, Mkulo na genge lote la mafisadi msisubiri kuchomwa moto:angry:
 
Back
Top Bottom