mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,593
- 138,682
Wabongo kutwa kuishi kwa kulalamikaWewe unayeona nionyeshe na mimi!
Fisadi no yupi na ameiba nini?
Awamu zote wao wanalalamika tu
Ova
Wabongo kutwa kuishi kwa kulalamikaWewe unayeona nionyeshe na mimi!
Fisadi no yupi na ameiba nini?
Unafikiri anaweza kukuonyesha basi.kipofuukimuonesha kitu hawezi kukiona kwa sababu hana uwezo wa kuona.
kwa hiyo kila anaewakosoa sasa ni team mwendazake? kwan mwendazake na samia wanatofauti gani akati wote ni madikteta uchwaraUnafikiri anaweza kukuonyesha basi.
Hiyo ni misukule ya mwendazake.
Bado haiamini kama jamaa kafa.
Wamebaki ooh ufisadi ukimuomba ushahidi anakwambia we kipofu kwani huoni!
ungeliielewa mada sidhani kama ungeandika huu utumbo, anayoyafanya samia kwa mbowe wanatofauti gani na mwendazake?Sukuma GANG toka afungwe Sabaya hamna Amani kabisa.. tulieni, hamtaki kukubali , hizi ni zama za Samia sio za maiti…
Watu duni sana ndio wanaomkumbuka na kuomboleza kila siku. Mkuu pambana usitegemee mtu kuishi.Mtanikumbuka.
Hata mwaka bado!