Mafinga vs Iringa Mjini kibiashara wapi kumechangamka?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Mfano ukiwa na nia ya kuanzisha biashara wapi pazuri kwenda kufanyia biashara? Naomba kwa wazoefu wanipe ufafanuzi maana dar nimegoma kwenda kabisa kule no.
 
Iringa mjini biashara zote zinafaa kwa wageni, kutokana na uwepo wa vyuo vikuu kadhaa na pia mchanganyiko wa watu. Ila ukienda Mafinga, biashara kubwa ni ya mbao.
Asante sana mkuu. Ngoja tuone wengine wanasemaje.
 
Iringa mjini biashara zote zinafaa kwa wageni, kutokana na uwepo wa vyuo vikuu kadhaa na pia mchanganyiko wa watu. Ila ukienda Mafinga, biashara kubwa ni ya mbao.
Mkuu, all in all
Mafinga panamzunguko mkubwa wa pesa kuliko iringa mjini

Kuna watu wanaishi iringa ila wanafanya shughuli zao mafinga, wanaenda asubuhi wanarudi jioni

Iringa mjini vyuo vikifungwa hamna cha maana ni kama upo kijijini tu

Afu maisha iringa ni ghali sana
 
Hapo ni sawa na kulinganisha buguruni na masaki au mikocheni kwamba wapi kuna mzunguko mkubwa wa kibiashara
Mafinga ni sehemu ambayo biashara zingine na muingiliano wa watu uko influenced pakubwa na biashara ya mbao

Iringa mjini ni centre ambayo hizo biashara zingine, muingiliano wa watu uko influenced na uwepo wa ofisi za kiserikali, vyuo, biashara za mazao, mbao, utalii, n.k
 
Mkubwa mm nazani Iringa ni bora,Kutokana na idadi kubwa ya wakazi lakini pia idadi kubwa ya wageni ambapo hata hao wa mafinga wanakuja Iringa kufanya mahitaji.Mkuu ni lazima iwe mafinga au Iringa? Maana hapo karibu yako Kuna mbeya inamzunguko mzuri kibiashara kuliko huko
 
Kama unapenda wanawake na humpendelei kutumia Kinga bas jiandae na ungonjwa wa HIV Muda woeote utaitwa kwa sir god
 
Back
Top Bottom