Mafia: Wavuvi wapoteza maisha baharini baada ya samaki aina ya Potwe kuvuta nyavu zao

Hapo ndipo utajua siku zao zilikuwa zimefika, maana kama walimuona na baadaye akapotea/kunasa wavuni kisha jamaa wakazamia kufuatilia wavu kumbe kifo kilikuwa kinawaita.
Roho ya mauti ina mambo ya jinga sana. Inakuvuta mdogo mdogo hadi waingia kingi
 
Wange tulia tu hata kwenye TV kufuatilia yanayo jiri kwa msiba huu tulio nao wa JPM
 
Waliokuwa nao baharini
Hapa Afrika stori hiyo itapokelewa kama ilivyo. Ulaya wasingekubali.

Nenda google tafuta, kuna jamaa walirudi nchi kavu wakasema mvuvi mwenzao kazamishwa baada ya mtumbwi kupigwa na upepo wa ghafla.

Vichwa vya wataalam vilivyotulia vikasema okay poa! Wakaomboleza, wakazika, wakaingia kazini. Walipomaliza kazi yao wale jamaa walikutwa na hatia ya murder.

Hapa kwetu yamekwisha, huwezi kumrudisha marehemu, yaliyopitwa si ndwele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom