Utende hio au?Umeona vitu mkuu, haya mambo hatuyajui mpaka wageni waje wa dive watupigie picha. Michezo ya Diving haipo kabisa kwa ngozi nyeusi
Tunajua vivutio vingi sana zaidi ya hivyo sema mifuko yetu watanzania haina kitu, mimi hata mikumi tu nimeijua Jana wakati nakuja dar kwenye harusi ya ndugu yangu baada ya kulipiwa nauli
Daa, yaani nimeona hizo picha nikaona uchungu na kujionea huruma. Nilikuwa sijui kama kuna samaki wenye rangi tofauti na nyeusi, kumbe wako mpaka wenye rangi kama zile wadada siku hizi wanapakwa kwenye kucha wamekaa chini kule mjini?
Umenikumbusha mengi sana mdau. Mimi hata nikienda swimming pool bila ku dive naona kama sikwenda swimmingNapenda kinyama scuba diving...sanaaa. Nilitaka kumpeleka wife for our honeymoon..dah akakataa
Nina maana hiyo MAFIA ISLAND MARINE PARK...ipo Mafia sehemu gani?...utende?Sijakupata Mkuu, una maana....
Ipo Mafia Kata ya Kiegeani kijiji cha Utende.Nina maana hiyo MAFIA ISLAND MARINE PARK...ipo Mafia sehemu gani?...utende?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app