masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,572
- 20,151
Rafiki yako naye kabebwa sio 😃😃😃rafki yangu mmoja kapigana usiku uliopita so imebidi nikampe suport....
watu wanakesho afu mnakuja kutoa judgement za kijinga sijawah ona
mabondia wazuri wapo ila mnaendekeza utanga
mtu kama ibra classic mngemchukua mkampa hizi nafasi mnazowapa mabishoo
rafk yangu yupo under mafia ila kidogoo alitembeza mkono...yaani kidogo sana ila alipoteza lakini majudge wamemba..mi sijaongea nae tangu nimefika home yaani naona hadi aibu
aiseee ....napata hasira
kabebwa kabisaaaRafiki yako naye kabebwa sio 😃😃😃
Nimetazama nimepatwa na kichefuchefu kwanza yapo kisiasa na uhalisia wa kimashindano haupo,knock out zote naweza ziita full mchongo labda angalao moja.Rafiki yangu mmoja kapigana usiku uliopita, hivyo imenibidi nimpe support.
Watu wanakesho, halafu mnakuja kutoa judgment za kijinga. Sijawahi kuona mabondia wazuri wakipewa nafasi, ila mnaendekeza utanga
Mtu kama Ibra Classic mngemchukua mkampa hizi nafasi mnazowapa mabishoo.
Rafiki yangu yupo under Mafia, lakini kidogo alitembeza mkono—yaani kidogo sana. Alipoteza, lakini majaji wamembania. Sijaongea naye tangu nimefika home; yaani naona hadi aibu.
Aisee... napata hasira.
Daa huyo naye ana yake. Watanzania tulikesha tunamuombea ashinde mkanda wa dunia. Alichotufanyia watanzania ndio ikawa laana kwake mpaka leo haujulikani anaenda mbele au anarudi nyuma. Ile bahati aliyoipoteza sidhani kama itakaa irudi maishani mwake. Kibaya zaidi akatuona watanzania wote mazwazwa eti viatu vilimbana.Hassan Mwakinyo yupo mbele ya muda.
bongo ndo bahati mbaya kabisaAfrica bahati mbaya
mafia wangejua kwa stahili hii pia wanaua viwango vya mabondiaNimetazama nimepatwa na kichefuchefu kwanza yapo kisiasa na uhalisia wa kimashindano haupo,knock out zote naweza ziita full mchongo labda angalao moja.
Kwenye mchezo kuna kushindwa,sare au kushindwa.Daa huyo naye ana yake. Watanzania tulikesha tunamuombea ashinde mkanda wa dunia. Alichotufanyia watanzania ndio ikawa laana kwake mpaka leo haujulikani anaenda mbele au anarudi nyuma. Ile bahati aliyoipoteza sidhani kama itakaa irudi maishani mwake. Kibaya zaidi akatuona watanzania wote mazwazwa eti viatu vilimbana.
mwakinyo alizungua sanaaaDaa huyo naye ana yake. Watanzania tulikesha tunamuombea ashinde mkanda wa dunia. Alichotufanyia watanzania ndio ikawa laana kwake mpaka leo haujulikani anaenda mbele au anarudi nyuma. Ile bahati aliyoipoteza sidhani kama itakaa irudi maishani mwake. Kibaya zaidi akatuona watanzania wote mazwazwa eti viatu vilimbana.
mwakinyo alisemaga one time viatu vinateleza....Kwenye mchezo kuna kushindwa,sare au kushindwa.
sure....Niliacha mambo ndondi kwasababu hizi hizi... hata kocha wangu baada ya kuona mazingira yetu akanipa option nihame na kuomba urai nje kama napenda sana mchezo wa ndondi ila kama hapa hapa aka akaniambia nisipoteze mda
mkuu jana ndo ilikua kichefuchefuNilikuwa nikisikia kuna vitasa nilikuwa nahakikisha nawahi kwenye TV naangalia mapambano yote mwanzo mwisho mpaka usiku wa manane. Kuna siku bondia mtanzania alitandikwa na bondia wa nje (siwakumbuki majina) toka raundi ya kwanza mbongo anakula kichapo mwamnzo mwisho. Kuja kwenye matokeo majaji wakampa mbongo ushindi. Toka siku hiyo nikasema mimi na ngumi za kibongo basi. Majaji wetu jau sana. Wakiona mbinu ya kumpa bondia wanayemtaka ushindi imeshindikana kabisa basi utasikia wametoka sare wakati watu wote wanaona mmoja kapigwa kabisa na mwingine kashindwa. Saa nyingine unaona kabisa hata bondia aliyepewa ushindi kwa utata au sare ya utata yeye mwenyewe anaona aibu.