mafataki wengi huishia kuzaa watoto wa kike y???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mafataki wengi huishia kuzaa watoto wa kike y????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 14, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  jamani naomba niulize
  kuna marafiki wengi ninaouwajua waharibifu wa watoto
  wa shule wengi wameanza kupata watoto wa kike
  sasa najiuliza sijui Mungu amewapa majaribu waone wenzao
  nao wanavyowanyukunyusa watoto zao ama????
  kama we unajijua fataki na una dume
  shuguli unayo uchelewi kitwa ba ba na.n....no
   
Loading...