Sio la kidemu bwn..Na hili begi la kidemu sijui?
Being fashionable = Taking risk!Hata kama sio la kidemu kwangu mimi big NO. Hizi fashion nyingine unaweza kuonekana punga.
Karl Lagerfeld akimuona atashangaaAtakuwa na asili ya Zaire huyu, wale jamaa hawaoni shida kuishi kwenye chumba lakini ana miliki pair tano za viatu vya Gucci
Kua rizki ni jambo binafsi na kimsingi sina shida nayo..nimezungumzia uthubutu tu mavazi!Ndio maana hao fashionable wengi wanakuwa sio rizki.
Niinja?