Kichikapua
Member
- Nov 24, 2010
- 11
- 2
Ndugu wanajamvi
mimi nemeachishwa kazi baada ya kamuni yetu kufunga virago hapa Tanzania. naomba mtu anisaidie jinsi ya ku calculate fedha za usafiri kurudi mahali nilipokuwa kabla ya ajira. je kuna government circular ya jinsi ya ku calculate fedha kwa ajili ya kusafirisha vifaa vyangu