Mafanikio ya Wanaijeria waishio Marekani yanawakera sana Wamarekani weusi wazawa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.

Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada.

Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa vibaya mno katika sehemu nyingi kuanzia biashara, burudani na hata elimu tabaka ambalo limeelimika kuzidi tabaka lolote, hawa wazungu wamepigwa kanzu.

Sasa hii ishu inawaumiza sana Wamarekani wazawa weusi ambao wengi wao hata shule zimeenda kushoto, ndoto zao mara nyingi huwa wanamichezo, waimbaji, waigizaji, n.k.

Kwa mawazo yangu naona Wamarekani weusi wasipokaza basi huu ndio utakuwa mwanzo wa anguko lao, ikumbukwe Waziri wa Fedha wa saizi wa Marekani ni Mnaijeria aliyezaliwa Naijeria.
 
Huwezi ukaenda nchi ya watu halafu ukaleta blah blah, ni kama unavyoona Wahindi walivyo huku kwetu, Chinese, au Wasomali. Ukifika nchi isio yako ni lazima upambane sana ili maisha yaende la sivyo utashindwa, wakati wale walio wazawa huwa wanachukulia poa tu.
 
Nigerians are daredevils.

Duniani kote wanaijeria ni mafighter vibaya mno.

Afrika Kusini wanachukiwa na majamaa kwa kuwachukukia mademu zao. Maana wana pesa na wanahonga sana.

Madada wa kibongo nao washaanza kuwashobokea, naona washaanza kugundua chimbo wameshaanza kuchukua mademu wa kibongo.

Jamii nyingine ni Wasomali, ni balaa tupu.
 
Sio Wanaijeria tu. Wasomali, Caribbean, Black Americans nawafananisha kama wapalestina kulalamika muda wote. Hawajui kuchangamkia fursa.
Bora hata kwa wasomali huko na wa caribeean sio tishio sana, Mnaijeria anapindia meza juu chini aisee.

Tatizo la black Americans wengi huwaza kupata pesa kwa uhalifu, kulewa madawa ya kulevya, kuwaona wanawake kama bitches ama hoes, n.k

Wanaijeria hawanaga ujinga hu.
 
Huwezi ukaenda nchi ya watu halafu ukaleta blah blah,ni kama unavyoona wahindi walivyo huku kwetu,Chinese,au wasomali.Ukifika nchi isio yako ni lazima upambane sana ili maisha yaende la sivyo utashindwa,wakati wale wazawa wanachukulia poa tu.
Kumbuka kuna watu wengi tu kutoka kila pande za dunia hata kila nchi za Afrika, Ila daah hawa wanaijeria ni kama wametumwa kuyatafuta maisha marekani 😂😂😂
 
Hao black Americans wanadai umasikini wao umesababishwa na biashara ya utumwa, hivyo wanatakiwa walipwe fedha kama fidia, vyuoni wapewe nafasi maalumu za upendeleo, kampuni yoyote inayoajiri lazima iwatengee nafasi maalumu za ajira
Ni Kweli uwezesho unatakiwa lakini ni lazima wapambane. Kama ni madhira ya utumwa hata wayahudi wametokea huko huko.

Kwasababu huwezi kutegemea silver spoon kwenye ulimwengu wa kibepari. Ngoja hao wahamiaji wawachangamshe.
 
Hao black Americans wanadai umasikini wao umesababishwa na biashara ya utumwa, hivyo wanatakiwa walipwe fedha kama fidia, vyuoni wapewe nafasi maalumu za upendeleo, kampuni yoyote inayoajiri lazima iwatengee nafasi maalumu za ajira
Hahaha kumbe wana ulemavu wa akili hivyo wenzao wanafight wao wanalialia.
 
Hao black Americans wanadai umasikini wao umesababishwa na biashara ya utumwa, hivyo wanatakiwa walipwe fedha kama fidia, vyuoni wapewe nafasi maalumu za upendeleo, kampuni yoyote inayoajiri lazima iwatengee nafasi maalumu za ajira
Waache ujinga, Hakunaga free lunch hii dunia.

Na jambo baya kuliko lote ni kwamba wamarekani weusi wanapenda sana kujiona ni victims wa racism, yani hata mzungu akimkonyeza mmarekani mweusi tayari kashaona kabaguliwa, hii imevuka mipaka.

Hata haya maandamano ya Black Lives Matter wamarekani weusi wengi waliyatumia kama fursa ya kutajirika kwa kuwa huru kuiba kwenye maduka,
 
Ni Kweli uwezesho unatakiwa lakini ni lazima wapambane. Kama ni madhira ya utumwa hata wayahudi wametokea huko huko.

Kwasababu huwezi kutegemea silver spoon kwenye ulimwengu wa kibepari. Ngoja hao wahamiaji wawachangamshe.
Wamarekani weusi wanachochukia saizi ni kwamba wanaijeria wameanza kumfanya mtu mweusi nae anaweza, Kwa muda mrefu wamarekani weusi walikuwa wakilalamika wanaonewa hawabebebwi, kitu ambacho kilifanya wamarekani weusi liwe kundi linaloangaliwa kwa jicho la huruma katika maauzi, Ila sasa hivi hawa wanaijeria wanawaharibia wamarekani weusi ambao walikuwa wanabebwa kwa mgongo wa huruma ya serikali.

Hakika Mnaijeria kwa sasa atawapiga gepu sana hawa Wamarekani weusi.

Trump alikuwa kawapiga pini wanaijeria wasiingie Marekani ila saizi Biden kafungua geti, Wacha wamarekani weusi waisome namba
 
Huwezi kuzuia wahamiaji, maana US imejengwa na Wahamiaji
Kuna huyu mmarekani mweusi anawadiss sana wanaijeria ana channel yake huko youtube >> HII HAPA <<


1613737525286.png
1613737540004.png
1613737558545.png
 

Attachments

  • 1613737579607.png
    1613737579607.png
    29.2 KB · Views: 2
Wa Nigeria wana displine ya life mno mno. Watoto wakifika miaka 16 kila mtoto anatafuta kazi Mc Donald na kila mwezi anawapa wazazi $100. Ukiwa na watoto 3 mnaweza kununua kwa Moorgate nyumba kubwa zaidi ukichanganya na mishahara ya baba na mama.
 
Back
Top Bottom