Mafanikio nguvu ya Roho

Mafanikio nguvu ya Roho

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha.

Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi ya matumizi uliyoipamga mwenyewe,,,wewe mwenyewe ndio unaibomoa...

Hii ni namna ya utaalamu wako wa kuwaza mambo makubwa bila kuwa na mbinu na mikakati ya kutekeleza jambo hilo ...mfano una kiwanja lakini hupigi hatua hata ya kwenda kukiangalia ...unapanga biashara lakini waaapiii.....ujiaonavyo ndivyo ulivyo,,,,lakini unakuwa mwepesi kukamata glass ya kinywaji mamaaaaaa. kufungua zip zipu zipuuushhhhh.

Hiyo ni nguvu hasi ya kiroho na kiwango finyu cha kufikiri uchache wako ndio picha uliyomo.........

usipotumia muda wako kufikiri,,,,watu watakusaidiwa kufikiri juu ya maisha yako..........
 
Nifanyeje sasa nabii ?
 
Nifanyeje sasa nabii ?

Ukiachana na Nguvu ya Kiroho.

Mambo meng yanayoturudisha nyuma ni uwezo wa Ubongo kushindwa kuhimili tamaa na Kutokuwa na NIDHAMU.

Unapata hela ila haionekan imefanya nn cha maana. (Hapa naongelea hela nying sio hizi za kula na kusogeza maisha).

Mipango ilikuwepo ila hela ulivyopata ukajisahau kutimiza.
Mipango ya kusave hela ipo ila kila ukishapata hela hausave.
Mipango ya kuoa/kuolewa ipo ila kila mwanamke/mwanamme unayempata unaona bado na hautulii unaendelea kutafuta mwingne.
Nk nk

Ila wapo walioweza, je waliwezaje?!

JIBU ni Nidhamu, waliweza kwasababu walikuwa na Nidhamu kwenye mipango yao waliyopanga.

Je huna Nidhamu?,
Unajifunzaje...

Sio jambo la siku Moja, ila linawezekana.
 
Nashukuru nimejifunza sasa ,tukutane juu
 
Back
Top Bottom