Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Halafu mkishabadilishana????Kubadilishana mawazo mawili matatu privately.
Halafu mkishabadilishana????Kubadilishana mawazo mawili matatu privately.
Tunashukuru mkuu maana mwaka bado ni mpya tunaweza kujipanga na kusaka mafanikioni kwa ajili ya kubadilishana mawazo mawili matatu tu.
Amina.Tunashukuru mkuu maana mwaka bado ni mpya tunaweza kujipanga na kusaka mafanikio
Anything can happen. Anything positive.Halafu mkishabadilishana????
Pamoja sana mkuuAmina.
Kipimo cha mafanikio ni pale unapofikia malengo yako. Kama umejiwekea malengo kadhaa mf. Kumaliza shule, Kupata kazi, Kujenga na kadhalika kama utavyokuwa umejiwekea mwenyewe, basi ukishayatimiza malengo hayo tunaweza kusema umefanikiwa. Kila mtu ana kipimo chake cha mafanikio kulingana na malengo aliyojiwekea.Nipe kipimo cha mafanikio mkuu..
Kama una cha kuongezea unaweza kucomment maana hili somo ni pana sana.Ndio umemaliza?
Woga wako tu.Namba ya nini tena yani lazima unataka kuleta mambo ya Qnet![]()
Wewe huyu ni dogo nimesoma naye msolwa st gaspar usije kudhani ni mtu mzimaTushajua upo India meeen so ngoja tuje kukushobokea whatsapp
Ooooohhh okayAnything can happen. Anything positive.
Aiseeee we ulijua nipo serious????Wewe huyu ni dogo nimesoma naye msolwa st gaspar usije kudhani ni mtu mzima
Sasa huyo mke na watoto utawatunzaje bila ya pesa, nyumba,gari ,elimu kuwasomesha hao watoto wako mpaka chuo kikuu unajua kuna wengine wanashindwa kuendelea na elimu sababu wazazi awana pesa ,afya ya wewe na familia yako yote endapo mtaumwa mutaenda vipi hospital bila ya pesaWatu wengi wanadhani kua na pesa nyingi na za ziada ndio kipimo cha mafanikio. I say NO. Mie nimefanikiwa sana. Nina afya tele. Mke mzuri na tunaelewana sana. Watoto wetu wamemaliza vyou. Tuna nyumba yetu. Tunafuga. Chakula cha kutosha. Tuna usafiri wetu japo mara nyingi twatumia dala dala. What more can a man want ? Mamilioni nikose usingizi au pombe na malaya na maradhi. Think twice
Well said. Hiyo ni dozi nzuri sana. Yeye anaona kafanikiwa ila jamii inaona bado.Sasa huyo mke na watoto utawatunzaje bila ya pesa, nyumba,gari ,elimu kuwasomesha hao watoto wako mpaka chuo kikuu unajua kuna wengine wanashindwa kuendelea na elimu sababu wazazi awana pesa ,afya ya wewe na familia yako yote endapo mtaumwa mutaenda vipi hospital bila ya pesa
Arafu unasema mafanikio sio pesa nakati vitu ulivyotaja vyote vinaitaji pesa usijifanye mjuaji
Rejelea kitabu cha rich dad poor dad, wewe nakuweka kundi la poor dad kwasabu unapumbaza watu
Asante kwa kunisaidia. whuuuuuWewe huyu ni dogo nimesoma naye msolwa st gaspar usije kudhani ni mtu mzima