Mafanikio katika Maisha hayana siri

Mafanikio katika Maisha hayana siri

Aloyce Mkwizu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
70
Reaction score
53
NA: Aloyce Mkwizu.
Watu wenye mafanikio makubwa duniani huwa wana hadithi nyingi za kuhadithia. Huwa wanasema kila unachokifanya ndicho kinachokutofautisha na wengine. Pia wanasema mafanikio hayana siri. Mafanikio ni wewe mwenyewe. Yafuatayo ni mambo ya kuzingatia ila kujitofautisha na watu wengine:
  • Nidhamu ya muda.
  • Nidhamu ya pesa.
  • Kujiamini na kujikubali.
  • Kujifunza mambo mapya mara kwa mara.
  • Kusoma vitabu mbalimbali.
  • Kukaa mbali na watu hasi.
  • Chagua marafiki wanaofaa.
  • Kuyapa kipaumbele mambo muhimu.
  • Kutokubali kushindwa.
Mafanikio hayachagui kabila wala jinsia. Ni jitihada zako mwenyewe. Karibu tufanikiwe pamoja.
Wako katika mafanikio.
Aloyce Mkwizu.
+918448628500.
 
Hapa jukwaani ni mwendo wa kudanganyana na kukatishana tamaa
wengine watakwambia ukitimiza miaka 40 hujajenga ndio basi tena duh!
Maneno kama hayo yasikilize kwa kutumia sikio la kushoto alafu yatolee kulia. Mmiliki wa KFC alipata alifanikiwa na miaka 60. Mifano ipo mingi cha muhimu ni kuwa na mipango na kusonga mbele. Kwanza kujenga nyumba sio mafanikio. wangapi wana nyumba lakini maisha yao ni ......
Watu kama Harrison Ford, sylvester stallone, JK rowling, ray kroc na steve jobs walifanikiwa uzeeeni, ni kujipanga tu.
 
Back
Top Bottom