hii mada siyo nzuri kabisa japo wote tutanyoosha ila siyo nzuri kuijadili kwasabab ni uchuro sawa tu nakuandika wosiaZoezi la uzikaji limeendelea kywa gumu hivi sasa baada ya baadhi ya sehemu zilizoaminiwa kuzikia watu kujaa. Dar imejaa, ndivyo wanavyosema wananchi wa dar
Kiukweli hata ukienda kinondoni leo hii wanazika mtu juu ya mtu..inasikitisha sana. Uongozi wa mkoa wa Dar es salaam ukubali hali halisi wanunue sehemu za kuzikia na tusitegemee kinondoni tu...
Naonaa mbweni nako kumeanza kufurika muhimu tuanze kujengea wapendwa wetuKinondoni place bado zipo jana nilienda mazikoni ila watu wanajenga makaburi makubwa sana.. Kuna moja lipo kama mlima.. karibu na eneo la wabahai eneo lipo kama limetengwa hivi sikuelewa.
Acheni uoga wa kufa... kama familia haina pesa mtazikwa Dar na si lazima kinondoni kuna maeneo mengi zaidi mbona wilaya zote
hata huko kutajaaTanzania Bado kubwa sana. Nadhani Mkuranga, Kibiti na Rufiji kufanywe mazikio.
Hasa kibiti watu wote wangehamishwa kule alafu pakawa pakuzikia wafuTanzania Bado kubwa sana. Nadhani Mkuranga, Kibiti na Rufiji kufanywe mazikio.
Mkuu samahani kama ntakukwaza kwa swali hili.Lifespan ya kaburi haizidi miaka 20 lakini ni vema sasa tukafikiria kuingia kwenye mfumo wa cremation (kuchoma moto) kwa mfumo huu makaburi ya kino yanaweza kuzika zaidi ya watu million tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mlundikano wa makaburi ni uonekanaji wa akili zetu zilivyo ovyo Katizame makaburi ya wapiganaji wa vita vya dunia pale karibu na Serena hotel yanepangwa vizuri sana. Na ukija yetu ni vituko kuelekea sehemu ya kuzika lazima ukanyage makaburi njia nzima huwa sisikii furaha kukanyaga kaburi la mtu. Viwanja vipimwe nabieleweke idadi ya watakao zikwa hapo and then wasitishe ili wafiwa wawe wanawasafishia Wapendwa wao makaburi japo sidhani ipo sawa au ni sawa kiimani.Naonaa mbweni nako kumeanza kufurika muhimu tuanze kujengea wapendwa wetu
hao watakuwa wamepitisha zaidi ya miaka mia au mia mbili hivyo familia au ukoo unakuwa hauna mapenzi tena na ule msemo wa wapendwa wao unageuka kuwa uongo.. so France wamefanya sawa makaburi yakifungwa na kuachwa kwa zaidi ya miaka hamsini au mia uwezekano wa kuyahamisha upo maana hata wadai fidia wanaweza wasitokee kama unampenda nduguyo mzikie uwanja wa Nyumba zenu au shambani kwenu.
Tungefanya kama ufaransa...hii hapa ni Paris catacombs- mabaki ya miili zaidi ya milioni 6 ilikusanywa na kupangwa chini kwenye mapango ya yaliyokuwa machimbo zamani chini ya ardhi kisawasawa inavyoonekana hapo..kwa waliofika Paris hii pia ni sehemu ya utalii. Ila kwa hapa kwetu inahitaji zoezi liwe shirikishi hasa manake hapo makaburi yote yanafukuliwa na kuhamishwa eneo linabaki wazi n ndugu waridhie kuwa hakuna kwenda tena kutembelea kaburi la mpendwa wenu kama inavyofanyika sasa..
Kila mtu akifa akazikwe kwao utolewe utaratibu ukifa tunangalia asili yako, tukienda kwa mfumo huo naimani mjini hakutajaa makaburi pia itarudisha heshima kwa baadhi ya ndugu waliosusa makwao kisa wapo mjini basi wamesahau kabisa walikotoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nashauri tuanze kuzikwa kwakusimamishwa alafu juu ndio unaandika taarifa yamarehemu kwamfano kama ukizikwa kwenye sanduku basi sanduku liwekwe kwakusimamishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah yaani mtu umeshakufa unaogopa mwili wako kuchomwa aiseesasa umeshakufa unaogopaje moto
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4