MAENEO HATARISHI KWA AFYA YA NDOA

MAENEO HATARISHI KWA AFYA YA NDOA

Sina muda wa kumlinda na kumchunga mtu mzima, I'll never do that.

Mtu akiamua kucheat hata umuache ndani umpe kila hitaji lake, still atacheat tu. Kuna watu wana addictions zao, wanahitaji counselling ya nguvu kuwabadilisha.
 
Hakuna upumbavu kama kumlinda au kufikiria kuwa mke atakusaliti angali mmekutana ukubwani,
kikubwa ni kueshimiana tu, wewe ukikuta imeshaoshwa wewe kula haina makombo!
 
Kuna mbinu/njia moja hapo umeitaja mkuu.

Ni mbinu/njia yangu pendwa sana kunako na haijawahi kuniangusha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom