MAENEO HATARISHI KWA AFYA YA NDOA

MAENEO HATARISHI KWA AFYA YA NDOA

Mwagito84

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
235
Reaction score
716
1.WhatsApp groups/Facebook

Hii mitandao miwili chunga sana imeziweka kwenye kona ngumu sana ndoa nyingi, nyingine zimevunjikia hapa na nyingine zi hoi mahututi. Hakuna mtandao una ongoza kufufua mahusiano ya ma X kama whatsapp groups, hebu fikiri mtu ana group la waliosoma wote kuanzia msingi, sekondari(O&A level)na vyuoni. Facebook inafuatia, najua unajua. ikumbukwe x wengine ni matokeo ya distance na wengine ni the best X ever. Nilipata kusoma sehemu nanukuu.....''Wanawake wengi huwawia vigumu kuanzisha mahusiano mapya na watu wapya asilimia kubwa ya wanaochepuka hurejea kwa watu wanaowafahamu.
2)Masaa ya ziada kazini/Weekends maofisini
Kuna siku nilikuwa na kiporo changu job basi huku na huko nikaenda jmosi kama saa 5 hivi ofisini, hapo ofisini pana ofisi kama sita, Ya boss, assistance wake, wakuu 4 wa vitengo, ofisi moja ya sisi wa kawaida hii ina partision kam 4 kila mtu anajitegemea na chumba cha nyalaka na kumbukumbu, kupita nichukue key mlinzi akasema boss wako yuko ofisini. Nikasema poa ile naingia mlango mkuu ili niende ofisini kwetu nikastukia maka kuna movement zisizo za kawaida kwenye ofisi ya boss msaidizi, yaani kuna kurupushani za kiutu uzima. Nika gaili na kuachana nakilichonipeleka, Bwana we boss alikuwa anamla dada mmoja alikuwa field pale ni mke wa mtu kabisa,hii ni jumamosi mwendo wa saa 5 kwenda saa 6 mchana, hizi siku ofisi nyingi za umma hazinaga movement kabisa.

3) Chunga sana sherehe za usiku hasa kitchen party/kusahihisha mitihani(mwalimu)
Kwa kawaida kitchen party huhusisha wanawake watupu hivyo kwa vyovyote utabaki home,Hapa wahuni huwa wanatafuta lodge karibu kabisa na huo ukumbi na wanaiba mke, hapo uwe makini sana ila kam unapenda usinhizi basi lala. Kuna Madam mmoja mwalimu alikuwa na mchepuko wake, akawa anatakiwa aende marking ya mock mkoa na zoezi hilo linafanyika wilaya nyingine(kambi). Basi Madam akapiga mzigo day one kisha akaomba ruhusa kuwa amepigiwa simu mwanae amelazwa, Basi ika eleweka kuwa anaudhuru amerudi kwake wapi kumbe mchepuko ukamseti na kumuuliza huko mnalipwa tshs ngapi akasema kwa siku 7 ni 280,000, Mdau akasema hebu temana na hiyo mambo njoo kwa hotel, akaula mzigo siku 5 na akapewa zaidi ya ile pesa iliyopaswa apate kwenye marking. Siku ya kurudi home akaunga kwa mumewe kama naye ametoka marking.

4)Lunchtime kazini/ kuzingizia job kuwa atachelewa anaanzia hospital na mtoto
Unaweza ukaagwa na wife mapema sana alfajiri kuwa anatakiwa awahi sana kazini wana ugeni, watch out utapigwa kweupe, nini kinatokea, Anachomoka home mapema sana kwenye saa 12 kamili asubuhi then kazini nako anapiga simu kuomba samahani kuwa atachelewa kidogo kufika anaanzia hospital. Hebu Cheki hapa interval ya saa 12 hadi saa 4. Kuna wale wanaume wanajifanyaga wana wapeleka wake zao kazini then jioni wanawapitia, mzee achana na hiyo ratiba unless uwe unafanya kwa kupenda sio sehemu ya ulinzi. Kuna majita moja asiye na maana alikuwa anamla mke wa mtu kwa style shetani mwenyewe hapendi. Alichokuwa anafanya anawahi mapema lunch time anatega gari yake karibu na ofisi ya mchepuko wake ile akitoka tu anambeba moja kwa moja mtaa wa pili ghorofani na humo kwenye gari kasha mchukulia na lunch kabisa kwenye takeaway. Lunch time ni saa 1 kwa wastani. Dakika 10 usafiri, game dk 40 datika 10 kula = 6okd upo hapo mjomba.
5. Kuwa makini na current used emoji maka hizi kwenye simu ya mwenzio [emoji9][emoji7][emoji173][emoji179][emoji533][emoji131] [emoji85]kama hukutumiwa wewe umeisha.
 
Hahaha,
 
Nimekumbuka ile post mwanamke alikuwa anamaindi demu kakomment "SIO KWA SUTI HIZO" kwenye post ya mme wake.
 
Mnazidi kututia homa na pressure kwa hiyo wake zetu wanaliwaga Sana nje huko.kubabeki sijui nisioe tu nibaki huru ni enjoy hela peke yangu natafuta tu mtoto basi nimemaliza kulea nalea mimi
 
Hiyo namba 5 nimeielewa zaidi.

huwezo kumchunga binadamu....akiamua kaamua tu....watu wanagongewa juu ya vitanda vyao wenyewe
 
Back
Top Bottom