MaendeleoTanzania ni ndoto

More Tiz

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
2,232
426
Chama cha utawala kiko makini kuwaletea wananchi maendeleo.
Maendeleo.jpg
 
Hili ni kweli kabisa Mkuu. Miaka 52 sasa ya uhuru kila kitu hovyo hovyo na utajiri wa kumwaga dhahabu, almasi, Tanzanite, gas, uranium n.k.. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote wamefanya madudu tu sasa hivi tunaambiwa eti fisadi Lowassa ni jembe ukiwauliza jembe kwa shamba gani alilolima miaka yote aliyokuwa Serikalini Watanzania tukavuna naye na hivyo kumuona anastahili kupewa ridhaa ya kumkabidhi uongozi wa nchi wanaanza kung'aa macho. Jamaa ni mtupu kabisa sasa hivi yuko busy kutoa rushwa misikitini na makanisani ya mamilioni ili viongozi hao wa dini zetu kubwa mbili wampigie debe. Kiongozi bora hastahili kutoa rushwa ili kununua umaarufu rekodi yake tu inatosha kabisa kumuona huyu anafaa kuwa kiongozi wetu na hana ushindani.

Chama cha utawala kiko makini kuwaletea wananchi maendeleo.
View attachment 98979
 
Patiencw jamani. Nchi changa hii. Japo wenzetu wanachemsha mabua sijui tutavuna lini. Na kwa afya ya jamaa hapo sijui katoka km ngapi, lakini sijui kama hata km 1 ataomaliza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom