Maendeleo yalianza watu walipoanza kushirikiana

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Let us go back in time ,turudi nyuma miaka 500,000 iliyopita tuone jinsi binadamu walivyokuwa wanaishi. Shughuli yao kubwa ilikuwa vita na kutafuta chakula. Experince iliwafundisha kwamba umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu. Kwa hiyo wakawa wanashirikiana wanapokwenda vitani. Katika shughuli za kutafuta chakula,shughuli za uwindaji,wakajifunza,tungeshirikiana pale,yule mnyama asingetoroka. Kwa hiyo,kwanza kabisa,binadamu WALILAZIMIKA kushirikiana ili kuongeza uwezo wao wa survival.Juzi nilikuwa ndani ya daladala,wapo kinamama walikuwa wanasimulia jinsi ""Panya Rodi"" walivyokuwa wanafanya rioting katika mtaa wao usiku wa manane wanaibia watu TV,na vitu vingi. Wanasema""wale kushindana nao lazima muwe na ushirikiano"". Kwa hiyo kwanza kabisa primitive men wameshirikiana kwa vile walilazimika kushirikiana. Baadaye wakaona zipo faida nyingi za kushirikiana. Lakini sisi hatufunzi from history. Tunasema:""Oh,jirani yangu hapatani na mimi? Sasa nifanye nini?Natakiwa kulia?"".Hatuelewi faida na ulazima wa kushirikiana
 
Muhimu kushirikiana katika maendeleo. Ukitaka kwenda haraka nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali nenda na wengine.
 
Ha! ha! wapo wa kushirikiana lakini si mswahili na mswahili. Ivi we unadhani ushirikiano wa visiwani na bara unatija?
 
Back
Top Bottom