Maendeleo ya jamii kazi ndo shida hivi?

Maendeleo ya jamii kazi ndo shida hivi?

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
863
Reaction score
1,003
Nimepitia uzi mbali mbali humu ndani,ila nilichokuja kugundua ni kuwa kupata ajira ukiwa na mlengwa wa masomo wa "Community Economic Development " ni taabu sana!!

Labda pengine nisijue fursa za Somo hilo

[emoji837]TAFADHALINI. Tufunguane juu ya Upatikanaji wa ajira zale,na hata maeneo ambayo yanafaa kwa mtu aliesomea somo.hilo kuajiriwa.
 
Hizi kazi zipo mara nyingi kwenye NGOs. Miradi inayotekelezwa na NGOs mara nyingi huwa ina interventions za economic empowment kwa hiyo huwa waanaajiriwa uko.
Sema kushikana mikono unakuta hata mwalimu ameajiriwa position hiyo.
 
Ndo watendaji wa kata na vijiji wanaajiriwa sana na Halmashaur mkuu
 
Back
Top Bottom