Maendeleo ya Bukoba Mjini: Mchango wa Mbunge na Mayor

Maendeleo ya Bukoba Mjini: Mchango wa Mbunge na Mayor

Kagasheki ameleta maendeleo kwa kufungua kituo cha redio Kasibante FM kwa kuwaburudisha wana BK, na Mayor ameleta maendeleo kwa kusimamia ujenzi wa soko jipya la Bukoba Mjini.....Tafakari

Nadhani na Meya kaleta maendeleo kwa kujenga shule binafsi inaitwa Amani na nyingine Peace. Ni primary, secondary, and high school.
 
kwa mjibu wa mipango ya meya na mbunge.

tambua kwamba mipango yote "inayoitwa' ya meya awali akbisa ilibununiwa na kagasheki na imo katika ilani ya chama cha mapinduzi kitaifa na kijimbo.katika utekelezaji wake meya anatka kwenda speed 1000 kuitekeleza bila kujua madhara yake.

madhalani ujenzi was soko ni ahadi ya mbunge hata meya anasema hivyo alakini mbunge anasisitiza kwamba ujenzi wa soko uende sambamba na kuwatafutia mbadala waliko hivi sasa sokoni.

meya alitamka kwamba soko litavunjwa januari 15,2013 kwamba kuja kufikia tarehe hiyo wafanyabishara wanekuwa wamepatiwa mbadala wa muda lakini hadi leo hakuna sehemui mbadala wala nini? sasa unafikiri kagasheki atakuwa mbunge wa aina ipi kwa kuruhusu wafanyabishara hao wafurushwe eti ni kuboresha soko? haiwezekani.hili.

Aidha hivi sasa halmshauri inapata hasara ya zaidi ay sh milioni 200 kila mwezi kwa sababu meya alisamehe kodi wafanyabishara wote wa sokoni tangu mwezi wa sita kwa jana.lini meya akawa na uwezo wa kusamehe kodi bila kupitisha kwa madiwani wenzake.

jadili mengine lakini meya huyu hafai kabisa
 
Nduguyangu hapo umechemka nadhani kama kuanzisha redio yasingekuwa maendeleo hakuna ambaye angekuwa anajivunia sasa mfumo wa digital na dunia kuiita kijiji lakini pia redio inatumika kama ambavyo unasoma habari hii, anglau unapata kuwatambua watu hawa tunaowaona kama wafanyabiashara ndani ya maslahi ya wananchi.

Pili nadhani uwate radhi wanahabari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari kudhalilisha shughuli yao kwani kinachofanywa na redio au gazeti na hata kama ni blog ni kusambaza anglau elimu kwahiyo kuleta redio ni maendeleo labda cha kujadili hapa ni je redio hiyo watu wanaitumiaje? Huyu jamaa alianzisha akakabidhi watu waitumie vizuri tunapoongea tusipende kufurahisha jamii bwana.

Wewe umeweka radio ngapi kule Dodoma? umeweka magazeti mangapi Dodoma?
Hawa wanazungumzia mambo ya Bukoba wewe hayakuhusu. Kwao hayo si maendeleo!
 
Tatizo kubwa la sisi wanaBK mjini ni uswahili tu, hapa Mzee Amani kasadia sana kulete maendeleo hasa ya kielimu kwa shule zake za Amani primary na Peace Secondary School tena mchepuo wa kingereza, mji kwakweli haujawa safi kwa hili bado doa la mayor Amani, Stendi hakuna kabisa, utaratibu wote mbovu kabisa halimashauri ya mji pale kaitaba.. Kwa upande wa Mbunge Redio ndo inaweza kumuongezea pongezi sana, ila ni mchapakazi mkubwa sana huku serikali ila kwa Jimbo lake naona kama amezidiwa na majukumu....Ila naona alinikwaza pale alipopindisha Sheria ili kumpa uraia Mayor Amani na watoto wake tena akaja kujitapa kwenye mkutano wa hadhara..ndo hayo tu ya kwangu ingawa mimi ni mpiga kura wa jimbo la Ubungo....
 
kwa mjibu wa mipango ya meya na mbunge.

tambua kwamba mipango yote "inayoitwa' ya meya awali akbisa ilibununiwa na kagasheki na imo katika ilani ya chama cha mapinduzi kitaifa na kijimbo.katika utekelezaji wake meya anatka kwenda speed 1000 kuitekeleza bila kujua madhara yake.

madhalani ujenzi was soko ni ahadi ya mbunge hata meya anasema hivyo alakini mbunge anasisitiza kwamba ujenzi wa soko uende sambamba na kuwatafutia mbadala waliko hivi sasa sokoni.

meya alitamka kwamba soko litavunjwa januari 15,2013 kwamba kuja kufikia tarehe hiyo wafanyabishara wanekuwa wamepatiwa mbadala wa muda lakini hadi leo hakuna sehemui mbadala wala nini? sasa unafikiri kagasheki atakuwa mbunge wa aina ipi kwa kuruhusu wafanyabishara hao wafurushwe eti ni kuboresha soko? haiwezekani.hili.

Aidha hivi sasa halmshauri inapata hasara ya zaidi ay sh milioni 200 kila mwezi kwa sababu meya alisamehe kodi wafanyabishara wote wa sokoni tangu mwezi wa sita kwa jana.lini meya akawa na uwezo wa kusamehe kodi bila kupitisha kwa madiwani wenzake.

jadili mengine lakini meya huyu hafai kabisa

Mie nadhani hapa kuna uelewa mdogo kuhusu kazi za Meya.
Kama kuna kosa lolote lililotekelezwa kwa makosa, madiwani wote (Kagasheki included) walihusika.
Meya na Mkurugenzi usema maamuzi ya madiwani wote. Uamuzi wa kuvunja soko umekuwa ni wa council nzima na si uamuzi wa meya. Watu wengi wamedhani manufaa binafsi ni sababu ya chuki kwa mtu, hapo tunakosea.
Kosa kubwa la wana Bukoba mlilofanya ni kuchagua lundo la madiwani wa ccm wasiojua kitu na kuwarundika kwenye council. Now your Reaping what you sow!
Kama walivyosema baadhi hapa kwenye uongozi wana Bukoba wamekuwa ni watu wanaojali sana kuhongwa. Na kila mtu anayehonga kwao amekuwa ni mtu maarufu na anayefaa. Hata hawajiulizi pesa hizo zatoka wapi na kwa makusudi yapi. Hakuna vetting ya viongozi tunaotaka labda tu akiwa na pesa ya kuhonga. Na nadhani bila kujitambua itatuchukua miaka mingi.
Kuhusu soko kutolipiwa pango kama nilivyoainisha hapo juu ni shida ya council yote na sio meya pekee. Kwa hili msimfunge kamba meya na mkamuacha kagasheki kama council member, wote ni wale wale tu.
 
Usiandike usichokijua wewe!,meya ndiye the best naorodhesh hapa!,
Kagasheki anasifa ya kipekee ya ubinadamu na upendo kwa jamii kwani hiyo sehemu muhimu kwa jamii, ambapo kwenye matukio yanayowagusa wananchi yeye ndiye wa kwanza kuwafikia mfano mwaka 2010 Kata Kagondo mvua ya upepo iliezua nyumba na kuharibu mazao aliwatembelea na kutoa mchango wa vyakula na malazi mbalimbali, lakini pia hivi majuzi mwaka jana wananchi wameezuliwa nyumba na makanisa katika kata nyanga na kashai ametoa mchango wa mabati.

Kama hiyo ahitoshi ameweka miradi ya SACCOS na mfuko wa maendeleo Bukoba BDA, japo alipokosea aliwapa nafasi wananchi wajitokeze kuwa wafanyakazi na wasimamizi wakuu wa miradi hiyo kwa waliowengi wanajipatia mishaara mikubwa na wanaojikopesha hawakubali kurejesha wakidai ni mali yao wanajilipa kwa kumpigia kura Kagasheki.

Ameweka kituo cha redio ambacho kinatoa habari mbalimbali nje na ndani ya nchi na wanabukoba wanakitumia kutangaza mambo yao hasa serikali kwani mara kwa mara na waskia viongozi ikwemo ofisi ya mkoa wakitangaza masuala yao.

Kagasheki amejenga shule katika kata ya hamgembe, kata kahororo ambapo ameshughulikia suala la umeme shuleni hapo, lakini pia aliweka mfuko wa rambirambi kwa wafiwa manispaa nzima japo nao inaoneka wanavamia mamruki, pia akaweka gari kwa ajiri ya wagonjwa nitaendelea naye..............

Meya ana sifa ya hasira na ubabe lakini ni miongoni mwa waanzilishi wa shule za kimataifa ambayo hata hivyo inatumika vibaya nadhani sababu inasimamiwa na watoto wake mwenyewe kwani naskia ameajili masai ambao huwacharaza fimbo wafanyakazi wakikosea.

Ni wa kwanza kuweka biashara ya baiskeli bodaboda au ASECDO inavyoitwa sasa baada ya kuja kwa pikipiki, na hii n i baada ya kuishuudia mtukula na uganda.

Ni Meya wa kwanza kumpiga mwandishi habari Bukoba, baada ya kumtandika AUDAX MTIGANZI akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya habari.

Lakini anasifika kukigawa cha cha mapinduzi kama alivyofanya mwaka 2001 na baada ya kupata umeya hali inayopelekea manispaa kuwa katika mshikemshike inayoshuhudiwa sasa katika manispaa, baada ya kudandia miradi na kutaka kuitumia kama mtaji, lakini pia ni miongoni mwa wanaochangia mto kanoni kufifia kwani anaendelea kujenga katika mto huo pamoja na kuwaamisha wafayatua tofali pamoja na kuziba uwanja wa kufanyia riadha kwa shule za mkoa wa kagera, niataendelea...........
 
Ta o'Mutwale, kwanza nitoe pongezi maana walau wewe huwa unadiriki kuyahoji na kuyasemea matatizo ya nyumbani na kushinda msemo ule "kusiga omwa nyoko guraile okagya kuemba ogwa mukasho. Tafsiri isiyo rasmi " kuacha moto umezimika kwa mama yako ukaenda kukoka kwa mama wa kambo. Moja ya vyanzo vya matatizo ya watu wanaotokea Kagera na hasa wilaya za Bukoba Mjini na Vijijini, Muleba na Siku hizi kuna Misenyi ni kujikita mijini na wakasahu nyumbani kwao kwa kila hali. Wameacha kuchungulia kwenye mizizi walikotoka na the whole of their parental home is deteriorating in most if not all apects -economically, socially (once a hub of knowledge and prefessionalism) but now a sickman of Tanzania rejea research reports za uwezo) na hata ethically (vijana wadogowadogo wengine maziwa mdomini wanavuta bangi na kubuya ugoro, viroba vya konyagi toka Uganda na mirungi). All in a shumbles either you believe it or not.

Haya tunayoshuhudia kati ya mbunge na meya is a tip in the iceberg. Yako mengi yamefichwa chini ya busati kwa kile akisemacho Jenerali Ulimwengu "kakitandugao". Miaka ya nyuma kati ya shule 10 bora Tanzania walau kama 3 zilikuwa zinatoka Kagera- Ihungo na Rubya Seminary kwa A-Level na O-Level na Nyakato na Bukoba Sekondari au Kahororo kwa O-Level. Leo imebaki historia. Kwanini hatujiulizi. Watoto wanaomaliza kwenye shule hizi ambazo hazina walimu wala vitabu ndio hawa wanaotokea kuwa madiwani na watendaji katika vikao vya maamuzi. Hawana elimu ya kutosha ya kutoa changamoto endelevu wala ujuzi na mwisho wanaishia kutoa maamuzi yasiyokuwa na manufaa kwa walio wengi na kwa dhamiri zao. Hawewezi kukaa na kutoa mpango wa maendeleo ya muda mfupi na mrefu na wanabaki kubabaishwa na watu wenye influence ya fedha au cheo. Ndio maana umeuliza kitu gani cha amaendelo wewe unatajiwa radio tena yenye jina la kejeli kwa adui wa kisiasa "kasibante". Faida yake wanasema inapasha habari. Habari zipi? Zenye kuonyesha mahitaji ya msingi ya wananchi na namna ya kuyapata? Zenye kuonyesha matatizo ya kiuchumi na kijamii-mnyauko na uharibifu wa vyanzo vya maji na mazingira kwa ujumla. Zenye kuleta mshikamo bila kujali rangi,dini,hitikadi na sehemu mtu atakayo. Zenye kupanua uelewa ili mtu apate kuhoji? Zenye matokeo yako measurable? Hatuambiwi

Sekta ya elimu nshaigusia. Ikoje hivi leo kwa kulinganisha na miaka iliyopita. Ongezeko la shule limechochea uelewa, elimu na skills mingoni mwa wakazi? Kwanini mkoa uliokuwa wa kupigiwa mfano(model) kwa elimu na wasomi leo umekuwa wa mwisho? Ni juhudi gani zimefanywa na viongozi hawa kuinua hali ya elimu? Kwanini leo wanakimbizwa na mgambo kisa hawajotoa 5,000 kama mchango wa shule. Viongozi hawa wamewaelimishaje watu?

Kilimo cha migomba, kahawa na ziwa Victoria hasa kwa uvuvi wa samaki vimekuwa ni sources of income and revenue kwa watu wa Kagera toka zama na zama. Lakini ziwa limegeuka kuwa liability baada ya kufunguliwa na viwanda vya kusindika samaki wanaosafirishwa. marufuku imekuwepo kuzia uvuvi wa watu wadogowadogo ili kupisha wafanyabiasahara wakubwa. Je, viongozi hawa wamesadiaje.

Afya na utabibu ni jinsi gani viongozi wetu wamesaidia kuboresha sekta zilizopo na kuanzisha mpya?

Tuwapime kwa vigezo na sio uwezo wa kutoa misaada in the limelight of their job descriptions.
 
Tumeiona kazi ya kagasheki,huyo meya nae atimize majukumu yake,apunguze sifa na tamaa ya vyeo,huo ubunge wa 2015 kama anautaka yeye asubiri u,mungu atampa.
 
Wana-JF Bukoba,

Naomba mnisaidie. Nimetafakari kwa kina juu ya mchango wa Mbunge wa Bukoba Mjini ili nipate jibu na kisha nichukue hatua ya ama kupongeza au kukosoa lakini kwa bahati mbaya kichwa kimeshindwa kuload muafaka! Nafsi imebishana na akili na vimeshindwa kufikia muafaka. Sasa nimeamua kuomba msaada kwa wapigakura wenzangu wa BK Town wanaotembelea hapa JF.

Naomba mnisaidie kuorodhesha mambo ya maendeleo aliyotufanikisha Mh. Kagasheki kama Mbunge na si yeye kama yeye. Naomba watu nuweke kando kupenda kulikopitiliza ambako ni sawa na upofu na wala msiwe wepesi wa kuorodhesha madhaifu bali mazuri yaliyoonekana katika kutokea kwa mabaya.

Ombi la Pili naomba mtazamo wenu; Kati ya Mayor wa BK Municipality na Mbunge wa Bukoba Mjini nani Mwanamaendeleo wa kweli na mtekelezaji wa vitendo?

Naomba uzi huu usinajisiwe na matusi kwa Mayor wala Mbunge. Tutoe maoni au tuchangie katika mkondo chanya. Tunatakiwa kuijenga Bukoba kwa kasi na si kuzidisha nyufa za uharibifu.


cc: KAUDO, NAM, qq.com, Ericus Kimasha, mwanamwana, Mugizi, Muganyizi, figganigga, Mathias Byabato, koku, Rutashubanyuma, Kaa la Moto, rutta, Money stunna, Somoche, Bishanga, Ta Muganyizi, Ben Mugashe

Ndugu yangu Omutwale,
Ninayo machache sana ya kuchangia kama ulivyoniomba.
Kwanza lazima nikiri wazi kuwa mkurugenzi wa manispaa aliyepo Bukoba kajitahidi sana kujenga barabara za lami katika juhudi anazofanya sasa hivi. Sasa siwezi kujua who is behind this, ila namjua mkurugenzi tu. Kagasheki kwa utetezi wake mbele za wananchi alikiri kuwa hajawa kwenye vikao vya council for last two years. Sasa sijui anahusika au la wala sijui ni Amani ambaye ni meya au la.

Pili, ninavyotambua wote wawili Kagasheki na Amani hawafai kabisa kiuongozi maana wote wana matatizo tupu.
Lakini Amani amekuwa bize kutekeleza ilani za ccm ingawa kama ilivyo kwa viongozi wote wa ccm kumekuwa na maslahi yake binafsi ndani ya haya yote. Ila kwa namna ninavyomfahamu Amani anavyopenda sifa na pesa lakini utendaji wake huwa zero sana. Watu wengi wanaomfahamu Amani wanajua hili.
Na kila mmoja wao Hamis na Amani amefanya mradi binafsi hapa Bukoba na kama tutasema miradi hiyo ni maendeleo, then, wote wametuletea maendeleo kupitia miradi yao binafsi :crazy:
Ni Hamis tu ambaye kajaribu kueleza katika mkutano wake uliopita nini kafanyia wana Bukoba, lakini kati ya niliyosikia akisema ni yale ambayo alifanya kabla ya kugombea ubunge 2005 (Nadhani ili kughiribu akili za wana Bukoba ili wamkumbuke atakapoweka jina kwenye ubunge) moja ikiwa kuweka taa za barabarani mjini katikati, na kutoa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya shule ya sekondari maeneo ya Buhembe. Hana nyimbo mpya kwa yale kafanya baada ya hapo. Single yake ni ile ile. Lakini pia Kagasheki ni mfadhili binafsi kwa matatizo ya misiba na harusi kwa vile ufukara umetanda pote hii kwake ni kete murua kwa wananchi
:mimba::laugh::laugh:

Tatu, nasikitika kuwa watu wengi hawajajua chimbuko la ugomvi wa Hamis na Amani. Nilijaribu sana kuliweka wazi hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...eya-wa-bukoba-na-saini-zao-2.html#post5438573
unaweza kufuatilia na huu ndio ukweli.
 
kwa mjibu wa mipango ya meya na mbunge.

tambua kwamba mipango yote "inayoitwa' ya meya awali akbisa ilibununiwa na kagasheki na imo katika ilani ya chama cha mapinduzi kitaifa na kijimbo.katika utekelezaji wake meya anatka kwenda speed 1000 kuitekeleza bila kujua madhara yake.

madhalani ujenzi was soko ni ahadi ya mbunge hata meya anasema hivyo alakini mbunge anasisitiza kwamba ujenzi wa soko uende sambamba na kuwatafutia mbadala waliko hivi sasa sokoni.

meya alitamka kwamba soko litavunjwa januari 15,2013 kwamba kuja kufikia tarehe hiyo wafanyabishara wanekuwa wamepatiwa mbadala wa muda lakini hadi leo hakuna sehemui mbadala wala nini? sasa unafikiri kagasheki atakuwa mbunge wa aina ipi kwa kuruhusu wafanyabishara hao wafurushwe eti ni kuboresha soko? haiwezekani.hili.

Aidha hivi sasa halmshauri inapata hasara ya zaidi ay sh milioni 200 kila mwezi kwa sababu meya alisamehe kodi wafanyabishara wote wa sokoni tangu mwezi wa sita kwa jana.lini meya akawa na uwezo wa kusamehe kodi bila kupitisha kwa madiwani wenzake.

jadili mengine lakini meya huyu hafai kabisa
Acha ushabiki changia kuhusu hoja iliyopo.
Kwani Kagasheki na Amani ni vyama tofauti kuhusu Ilani?.
Je ni mangapi yako kwenye ilani na yanatekelezwa na nani?

Nilitoka Bk 2000 nimerudi 2012 mabadiliko pekee ni vibanda vilivyovunjwa, Mgomba wa pale Three way na Jengo la NSSF mjini, pia majengo mengi kwenye viunga vya mji.
 
Send me even to your purgatory list then what? I am entitle do my ideas no matter what? Hata hao wa Arusha wing na Dar wing bado ni wana tatizo la ukanda. Simpo.
Jina lako halisadifu hekima ya ulichoandika hata kidogo........Ni wapi umesoma kumeandikwa Wahaya/Wanyakyusa/Wachagga? Walioitwa hapa ni wapigakura wa Bukoba Mjini ambao ni mchanganyiko wa makabila mbalimbali ya Tanzania. Mbona zikiandikwa hoja za JF Arusha wing, Dar wing, etc hatuiti huo ni ubaguzi wala ukabila? Ulitaka nasi tuitane kichit chat kujadili mapenzi? From today you will be sent to my ignore list
 
wee ni mwomgo sana hujui hawa watu wa uganda wana matatizo huyu aman hana upendo na tanzania ntakushangaa sana kwa kuona aman anapenda aman yako mtanzania wakati ndugu zake uganda hawako na aman ANAONA WIVU
 
Mbunge Kagasheki kafungua kituo cha redio ili kutoa burudani na kueneza udini mana kituo cha redio yake hakina tofauti na redio Iman,pia anasaidia kutoa misaada midogo midogo kama kanga kwa akina mama,magari ya kwenda kuhiji,mashindano ya michezo nk.Pia kagasheki anafanya kila njia ili ukoo wake ushike nyadhifa mbali mbali CCM bukoba.

Mstahiki meya Aman ni mchapakazi na ana msimamo ndo maana Kagasheki na genge lake wanampiga vita ili asifanikiwe katika utekelezaji wake kikazi,Kagasheki anamwogopa meya maana 2015 patachimbika ubunge.

Na hili suala la udini nalo linaitafuna sana BK mjini nakumbuka vipeperushi vilivyokuwa vinasambazwa kumuita Rwakatare Kafiri hali hii imeendelea kujitokeza mpaka kwenye siasa za ndani ya CCM yenyewe,Kagasheki asipoacha kutumia mbinu hii ya JK tutegemee kuendelea kuiona BK mjini ikididimia zaidi kimaendeleo.
 
wee ni mwomgo sana hujui hawa watu wa uganda wana matatizo huyu aman hana upendo na tanzania ntakushangaa sana kwa kuona aman anapenda aman yako mtanzania wakati ndugu zake uganda hawako na aman ANAONA WIVU

Unadhani bandiko lako lina lolote constructive kwa Bukoba ndugu yangu?
 

Na hili suala la udini nalo linaitafuna sana BK mjini nakumbuka vipeperushi vilivyokuwa vinasambazwa kumuita Rwakatare Kafiri hali hii imeendelea kujitokeza mpaka kwenye siasa za ndani ya CCM yenyewe,Kagasheki asipoacha kutumia mbinu hii ya JK tutegemee kuendelea kuiona BK mjini ikididimia zaidi kimaendeleo.

Kuna ukweli mwingi kwenye bandiko lako ndugu yangu. Tena ukweli ambao wengi hawataki kuusikia!
 
kagasheki tumempa ulaji tu,,,, Hata Kaizilege ange saidia ,,, kwa maana hiyo kagashe kasibante lakini kumbe hata radio ilikuwa ni ya kumsaidia lakini rasta kaleta noma
 
Baada ya kutafakari na kuona siasa (za maji taka-kama CCM wanavyoziita) ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa siasa zao zime-base kwenye kuwania kiti cha U-MP na wala hakuna lolote la maana zaidi ya kutaka kutumia ule msemo wa Laurent Desire Kabila-" Ntakuwa mtawala wa Congo either kwa msaada wa waasi, Mungu au shetani". Mayor Amani is just a corrupt guy so as his party (CCM) in which Kagashekiis a member.While Amani the former friend of the late frustrated Kabendera Shinani is "handpicked and made" by Kagasheki MP, Kagasheki is just a "handpicked and political made" guy form Father in law, Mzee Ruksa.These two guys belongs to the same criminal syndicate aka a family of organised crimes CCM. No one between the two has a clean backyard.
Ndugu yetu msabato masalia huu uzi unakuhusu sana...karibu nawe uchangie.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hisani ya Bukoba Wadau JE NI KWELI MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA AIGAWA CCM? | BUKOBAWADAU
603372_265748196888167_361619781_n..................................................................................................jpg
The Bible condemns people not to use Gods name in vain and surely some political leaders is committing as serious offence against the laws of Heaven.

THE PROBLEMS FACING THE MUNICIPALITY OF BUKOBA
When you choose to criticize a pleasant and positive way, you are in a way choosing how others should treat you. Madiwani must remember that they were once a critic to the former Mayor Mzee Samwel Luangisa.

LEAVE THE PAST BEHIND:
Some leaders are facing problems because some does not have direction and they does not know that people who are surrounding them are either enemies or friends. They had aimed to get the top and they wish have been granted by the heavenly powers but sadly they does not know to explore their way back to the peoples hearts and now they want to use divine threats to scare each other.

Do we need to conclude that the Mayor of Bukoba Anatory Amani is a way of killing Municipality developments na ni yeye anayeigawa CCM? I don't think so, The group of chancellors and other political leaders in Bukoba is a way of killing Bukoba developments na CCM inajigawa yenyewe.

TO ELECT A NEW MAYOR IS NOT A SOLUTION.
To elect a New mayor is not a solution to solve the problems facing Bukoba Municipality. The chancellors does not need to blame the Mayor(Yamekuwa Mazoe) but they just have to came up with good policies that will make The Municipal to sustain itself.
We need Leadership that should have seen Viwanja and Soko scandals back in 2010-2012 to stand in reality. Viongozi wanaoweza kuzisimamia kauli zao za awali katika swala la maendeleo ya Bukoba yatakavyokuja.

Bukoba municipality problems will not be solved by blaming others on the past. It does not matter how much compassion we draw about the past, the past will not change but should help us to correct the present and do things differently. It is not too late to solve yourselves from this situation by wasting time on the past. These leaders are ultimately condemning themselves to the past and therefore they will not be able to stand up to the challenges of today and the future.

John F Kennedy once said that the effort and courage are not enough without purpose and directions. Bukoba municipality leaders should know their purpose for Jimbo la Bukoba , they should know the proper direction to take wananchi to and apply their effort to achieve that. The political leaders such as Madiwani, Mayor, Mbunge and more others should be able to keep to concentrate under difficult times. They should be able to keep them ahead when others are loosing theirs. The have many people who have surrounded them and given them advise, some of which is stupid and distractive, it is still foolish and stupid. They should go far for the truth because the truth is never dependent on consensus of foolishness.

Leo wanamnyoshea kidole Meya Anatory Amani, 2011 walimunyoshea kidole Meya wa zamani (Muhasisi wa chama cha wa chama cha Mapinduzi )Mzee Samwel Ntambala Luangisa who is next kunyoshewa kidole??????????

A good Leader is the one who takes others critics like technitians who will help him/her to build a strong house and instead of arresting them, invite them to tell you where you are going wrong and help you on how you can do better.
This article is particulary acidic to those who are allergic to the truth.

Mwisho Kumpigia kura za kumuondoa Meya Anatory Amani si solution ya kutatua matatizo. 2010 alivaliwa njuga Mzee Luangisa na akaondoleawa zoezi lilifanikiwa asilimia 98. Leo hii mnataka aondolewe Meya wa sasa Anatory Amani. Mimi naona wakuanza kuondolewa ni Madiwani wa chama Tawala wasiojisimamia. Warudi kwenye kata zao wapambane na Chadema na vyama vingine vya upinzani tuone idadi ya watakao rudi na kama watakuwa na jeuri la kumsimika Meya wa CCM.

Utakuwa unatatua matatizo yapi kama unamuondoa mtu mmoja nakubakiza vichwa kumi na kitu visivyokuwa na uelekeo na kuweza kujisimamia.


PassyTndi/ Diaspora
January 20, 2013
 
Back
Top Bottom