Maendeleo ya Bukoba Mjini: Mchango wa Mbunge na Mayor

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053
Wana-JF Bukoba,

Naomba mnisaidie. Nimetafakari kwa kina juu ya mchango wa Mbunge wa Bukoba Mjini ili nipate jibu na kisha nichukue hatua ya ama kupongeza au kukosoa lakini kwa bahati mbaya kichwa kimeshindwa kuload muafaka! Nafsi imebishana na akili na vimeshindwa kufikia muafaka. Sasa nimeamua kuomba msaada kwa wapigakura wenzangu wa BK Town wanaotembelea hapa JF.

Naomba mnisaidie kuorodhesha mambo ya maendeleo aliyotufanikisha Mh. Kagasheki kama Mbunge na si yeye kama yeye. Naomba watu nuweke kando kupenda kulikopitiliza ambako ni sawa na upofu na wala msiwe wepesi wa kuorodhesha madhaifu bali mazuri yaliyoonekana katika kutokea kwa mabaya.

Ombi la Pili naomba mtazamo wenu; Kati ya Mayor wa BK Municipality na Mbunge wa Bukoba Mjini nani Mwanamaendeleo wa kweli na mtekelezaji wa vitendo?

Naomba uzi huu usinajisiwe na matusi kwa Mayor wala Mbunge. Tutoe maoni au tuchangie katika mkondo chanya. Tunatakiwa kuijenga Bukoba kwa kasi na si kuzidisha nyufa za uharibifu.

cc: KAUDO, NAM, qq.com, Ericus Kimasha, mwanamwana, Mugizi, Muganyizi, figganigga, Mathias Byabato, koku, Rutashubanyuma, Kaa la Moto, rutta, Money stunna, Somoche, Bishanga, Ta Muganyizi, Ben Mugashe, PrN-kazi, Katikomile, chitambikwa, Adoe,Wieka, jrrugy, Lowenstern, Kandambilimbili, Kenge (Eng), RUGAHIMBILA E R, Mzee2000, simeu, RUTAJUMBUKIRWA, Inviolata, Bujibuji, Mzee Kibiongo, Kaitaba, Kaa la Moto, Asprin, edwinito, Kisusi Mohammed, Naumia, Charuka, Baba_Enock, Domo Kaya, Kashaija, Iza, Sajenti, Domo Kaya, Rugas, Son of Alaska, Binti Maringo, Tiba, Charuka, Katoma, Ustaadh, Omutwale, Rwey, Kyakya, SONGEA, Bishanga, Sir, Robweme, Pelle mza, Kyemba, bakuza, Bigaraone, Chaimaharage, evoddy, Gagnija, Hagga, Jaji, james chapacha, Kagalala, Kaitampunu, kanyagio, Kibera, Lonestriker, Mkomamanga, MPIGA ZEZE, MUGUNDA, naivasha, Ngeleshi, PrN-kazi, Qixima mQiqa, RUBERTS, Rwamarungu, Rweza, sangija, Seneta,mukama talemwa,Speedy, timbilimu, Tukundane, Yakuza,rugumisa,GALIMA,BigTime,Kakalende,PrN-kazi, Alexism+, kilikiliani,kanyagio,BUSHAIJABWE, Libaba, Smarty, Baba Collins,Eddy M, BUBE, Tata, KASHOROBANA, Ambassador, Audax, Natasha Ismail, rushaka, charles RMD, Mutensa, nickson,amrikamala, Akami, King of Kings, katelero, ngonzi zomukama, KABAZI, mayenga, Adili, Madenge, MOMO, itembajr, giraffe, zacha, Gsana, Miruko, kuberwa, KakaKiiza, Novatus, Omukuru, naivasha, Bukyanagandi, Mtumishi Wetu, timbilimu, Leonard Robert, Ta Muganyizi, luckman, sembuli, bakuza, ruttashobolwa,Baija Bolobi, Rutunga M,
 
Kagasheki ameleta maendeleo kwa kufungua kituo cha redio Kasibante FM kwa kuwaburudisha wana BK, na Mayor ameleta maendeleo kwa kusimamia ujenzi wa soko jipya la Bukoba Mjini.....Tafakari
 
Kagasheki anasifa ya kipekee ya ubinadamu na upendo kwa jamii kwani hiyo sehemu muhimu kwa jamii, ambapo kwenye matukio yanayowagusa wananchi yeye ndiye wa kwanza kuwafikia mfano mwaka 2010 Kata Kagondo mvua ya upepo iliezua nyumba na kuharibu mazao aliwatembelea na kutoa mchango wa vyakula na malazi mbalimbali, lakini pia hivi majuzi mwaka jana wananchi wameezuliwa nyumba na makanisa katika kata nyanga na kashai ametoa mchango wa mabati.

Kama hiyo ahitoshi ameweka miradi ya SACCOS na mfuko wa maendeleo Bukoba BDA, japo alipokosea aliwapa nafasi wananchi wajitokeze kuwa wafanyakazi na wasimamizi wakuu wa miradi hiyo kwa waliowengi wanajipatia mishaara mikubwa na wanaojikopesha hawakubali kurejesha wakidai ni mali yao wanajilipa kwa kumpigia kura Kagasheki.

Ameweka kituo cha redio ambacho kinatoa habari mbalimbali nje na ndani ya nchi na wanabukoba wanakitumia kutangaza mambo yao hasa serikali kwani mara kwa mara na waskia viongozi ikwemo ofisi ya mkoa wakitangaza masuala yao.

Kagasheki amejenga shule katika kata ya hamgembe, kata kahororo ambapo ameshughulikia suala la umeme shuleni hapo, lakini pia aliweka mfuko wa rambirambi kwa wafiwa manispaa nzima japo nao inaoneka wanavamia mamruki, pia akaweka gari kwa ajiri ya wagonjwa nitaendelea naye..............

Meya ana sifa ya hasira na ubabe lakini ni miongoni mwa waanzilishi wa shule za kimataifa ambayo hata hivyo inatumika vibaya nadhani sababu inasimamiwa na watoto wake mwenyewe kwani naskia ameajili masai ambao huwacharaza fimbo wafanyakazi wakikosea.

Ni wa kwanza kuweka biashara ya baiskeli bodaboda au ASECDO inavyoitwa sasa baada ya kuja kwa pikipiki, na hii n i baada ya kuishuudia mtukula na uganda.

Ni Meya wa kwanza kumpiga mwandishi habari Bukoba, baada ya kumtandika AUDAX MTIGANZI akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya habari.

Lakini anasifika kukigawa cha cha mapinduzi kama alivyofanya mwaka 2001 na baada ya kupata umeya hali inayopelekea manispaa kuwa katika mshikemshike inayoshuhudiwa sasa katika manispaa, baada ya kudandia miradi na kutaka kuitumia kama mtaji, lakini pia ni miongoni mwa wanaochangia mto kanoni kufifia kwani anaendelea kujenga katika mto huo pamoja na kuwaamisha wafayatua tofali pamoja na kuziba uwanja wa kufanyia riadha kwa shule za mkoa wa kagera, niataendelea...........
 
Asanteni kwa maelezo yenu. Nahisi kama sikueleweka vema! Mmetoa maelezo mazuri na mengine marefu tu...Awali kabisa niliomba tujikite kutathmini kwa kuzingatia jukumu la Kitaasisi (Ubunge V/s Umeya) na Siyo watu (Kagasheki V/s Amani). Zaidi ya hapo, mengi yaliyoandikwa kufanyika ambayo mnataka yahesabike kama maendeleo yanaangukia zaidi kwenye kazi za hisani na si wajibu wa Kibunge wala Umeya. Na zingine ni miradi binafsi ya kibiashara. Nashauri tusome Katiba ya JMT, Ibara ya 63 kujua kazi za Mbunge.

Meya anasifa ya hasira na ubabe lakini ni miongoni mwa waanzilishi wa shule za kimatyaifa ambayo ahatahivyo inatumika vibaya nadhani sababu inasimamiwa na watoto wake mwenyewe kwani naskia ameajili masai ambao uwacharaza fimbo wafanyakazi wakikosea.

Ni wa kwanza kuweka biashara ya baiskeli bodaboda au ASECDO inavyoitwa sasa baada ya kuja kwa pikipiki, na hii n i baada ya kuishuudia mtukula na uganda.

Ni Meya wa kwanza kumpiga mwandishi habari Bukoba, baada ya kumtandika AUDAX MTIGANZI akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya habari.

Lakini anasifika kukigawa cha cha mapinduzi kama alivyofanya mwaka 2001 na baada ya kupata umeya hali inayopelekea manispaa kuwa katika mshikemshike inayoshuhudiwa sasa katika manispaa, baada ya kudandia miradi na kutaka kuitumia kama mtaji, lakini pia ni miongoni mwa wanaochangia mto kanoni kufifia kwani anaendelea kujenga katika mto huo pamoja na kuwaamisha wafayatua tofali pamoja na kuziba uwanja wa kufanyia riadha kwa shule za mkoa wa kagera, niataendelea...........
 
Asanteni kwa maelezo yenu. Nahisi kama sikueleweka vema! Mmetoa maelezo mazuri na mengine marefu tu...Awali kabisa niliomba tujikite kutathmini kwa kuzingatia jukumu la Kitaasisi (Ubunge V/s Umeya) na Siyo watu (Kagasheki V/s Amani). Zaidi ya hapo, mengi yaliyoandikwa kufanyika ambayo mnataka yahesabike kama maendeleo yanaangukia zaidi kwenye kazi za hisani na si wajibu wa Kibunge wala Umeya. Na zingine ni miradi binafsi ya kibiashara. Nashauri tusome Katiba ya JMT, Ibara ya 63 kujua kazi za Mbunge.

please give me a break!! Mtu kuanzisha redio nayo ni maendeleo??? Ukiwa na van unaweza kuanzisha TV ama redio au ukiwa na nyumba ina sebure na jiko unaanzisha redio na tv. Wote sioni wanalolifanya maana Bukoba haikupashwa kuwa hivi ki maendeleo. Angalia mji kama mwanza ulivyoendelea ina maana wabunge na madiwani wa kule wanatoka mbiguni?

Au halmashauri zao ni tofauti? Kagasheki na mwenzie Amani wanajuana maana nilimsikia akisema alimpatia uraia hivyo sishangai pengine jamaa hajamaliza deni lake ndio maana kila kukicha ni ugomvi tu. Nadhani Kagasheki amezeeka hana jipya kichwani na pia Amani haoni sababu maana si nchi yake. Na amewakuta madiwani ni njaa na shule hakuna hivyo anatumia nafasi hiyo kuiba atakavyo. Hivi mtu kujenga kwenye eneo la wazi wizara inakuwa wapi??? Ujinga umetawala.

BK ilipashwa iwe juu zaidi kimaendeleo kuliko mwz ama moshi maana tuko mpakani mwa nchi kadhaa hivyo tungejenga vitu kama shopping malls, mahoteli ya nguvu, viwanja vya mipira watu wangekuja kwa wingi toka nchi jirani lakini kutokana ufisadi wa ccm na akina Kagasheki ndio maana hata barabara za maana hakuna, nyumba zinabaki za miaka 200 iliyopita. Kazi kupiga kelele za kumwogopa Dr Slaa tu. Hatuna mbunge, madiwani, meya na wala kiongozi wa kitaifa nchi imekwisha.

Kilichobaki nikuwapiga chini wakalee familia zao ifikapo 2015. Kwa mara nyingine maendeleo si redio naishi ulaya naelewa ninachokisema. Kagasheki pumzika Amani rudi ukaijenge Uganda.
 
please give me a break!! Mtu kuanzisha redio nayo ni maendeleo???
Indeed, you need a break! Mimi siwezi kumlaumu Mtanzania hasa wa Bukoba anapoona kuwa kuanzisha Radio ndiyo wajibu wa Mbunge na ndiyo maendeleo. Labda naweza kumsaidia kufikiri zaidi ya hapo. Mfano kwa kumuuliza; Radio One na ITV, vyombo vinavyosikika nchi nzima ni vya mbunge wa Jimbo gani au rais wa Nchi gani? Na Je, Radio Kasibante ina tofauti gani katika umiliki (binafsi) na uendeshwaji (kibiashara) ikilinganishwa na Radio Vision ambazo zote ni za Bukoba Mjini?
BK ilipashwa iwe juu zaidi kimaendeleo kuliko mwz ama moshi maana tuko mpakani mwa nchi kadhaa hivyo tungejenga vitu kama shopping malls, mahoteli ya nguvu, viwanja vya mipira watu wangekuja kwa wingi toka nchi jirani......Kazi kupiga kelele za kumwogopa Dr Slaa tu.
Labda kwa mifano ya hapo juu wachangiaji wataelewa miradi ya Maendeleo ni ipi. Na kuna utofauti gani kati yake na miradi ya kupumbaza fikra za utu na maendeleo
Kwa mara nyingine maendeleo si redio naishi ulaya naelewa ninachokisema
Atakyala ati Mama achumba (Yaani mtoto asiyetembea humsifia mama kuwa mpishi mzuri).
 
Kagasheki ameleta maendeleo kwa kufungua kituo cha redio Kasibante FM kwa kuwaburudisha wana BK, na Mayor ameleta maendeleo kwa kusimamia ujenzi wa soko jipya la Bukoba Mjini.....Tafakari

Chukua hatua
 
Kagasheki anasifa ya kipekee ya ubinadamu na upendo kwa jamii kwani hiyo sehemu muhimu kwa jamii, ambapo kwenye matukio yanayowagusa wananchi yeye ndiye wa kwanza kuwafikia mfano mwaka 2010 Kata Kagondo mvua ya upepo iliezua nyumba na kuharibu mazao aliwatembelea na kutoa mchango wa vyakula na malazi mbalimbali, lakini pia hivi majuzi mwaka jana wananchi wameezuliwa nyumba na makanisa katika kata nyanga na kashai ametoa mchango wa mabati.

Kama hiyo ahitoshi ameweka miradi ya SACCOS na mfuko wa maendeleo Bukoba BDA, japo alipokosea aliwapa nafasi wananchi wajitokeze kuwa wafanyakazi na wasimamizi wakuu wa miradi hiyo kwa waliowengi wanajipatia mishaara mikubwa na wanaojikopesha hawakubali kurejesha wakidai ni mali yao wanajilipa kwa kumpigia kura Kagasheki.

Ameweka kituo cha redio ambacho kinatoa habari mbalimbali nje na ndani ya nchi na wanabukoba wanakitumia kutangaza mambo yao hasa serikali kwani mara kwa mara na waskia viongozi ikwemo ofisi ya mkoa wakitangaza masuala yao.

Kagasheki amejenga shule katika kata ya hamgembe, kata kahororo ambapo ameshughulikia suala la umeme shuleni hapo, lakini pia aliweka mfuko wa rambirambi kwa wafiwa manispaa nzima japo nao inaoneka wanavamia mamruki, pia akaweka gari kwa ajiri ya wagonjwa nitaendelea naye..............

Meya ana sifa ya hasira na ubabe lakini ni miongoni mwa waanzilishi wa shule za kimataifa ambayo hata hivyo inatumika vibaya nadhani sababu inasimamiwa na watoto wake mwenyewe kwani naskia ameajili masai ambao huwacharaza fimbo wafanyakazi wakikosea.

Ni wa kwanza kuweka biashara ya baiskeli bodaboda au ASECDO inavyoitwa sasa baada ya kuja kwa pikipiki, na hii n i baada ya kuishuudia mtukula na uganda.

Ni Meya wa kwanza kumpiga mwandishi habari Bukoba, baada ya kumtandika AUDAX MTIGANZI akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya habari.

Lakini anasifika kukigawa cha cha mapinduzi kama alivyofanya mwaka 2001 na baada ya kupata umeya hali inayopelekea manispaa kuwa katika mshikemshike inayoshuhudiwa sasa katika manispaa, baada ya kudandia miradi na kutaka kuitumia kama mtaji, lakini pia ni miongoni mwa wanaochangia mto kanoni kufifia kwani anaendelea kujenga katika mto huo pamoja na kuwaamisha wafayatua tofali pamoja na kuziba uwanja wa kufanyia riadha kwa shule za mkoa wa kagera, niataendelea...........

Nam.. naomba hili debe ulifanyie makisio ya faranga ndiyo itakuwa rahisi kulielewa..........
 
Mhhh! Kama hujui unachotaka si uache tu kwani lazima kuandika humu Jf? Kweli jasiri haachi asili! Yaani bado mnafikiria kikabila kabila siyo?
Wana-JF Bukoba,

Naomba mnisaidie. Nimetafakari kwa kina juu ya mchango wa Mbunge wa Bukoba Mjini ili nipate jibu na kisha nichukue hatua ya ama kupongeza au kukosoa lakini kwa bahati mbaya kichwa kimeshindwa kuload muafaka! Nafsi imebishana na akili na vimeshindwa kufikia muafaka. Sasa nimeamua kuomba msaada kwa wapigakura wenzangu wa BK Town wanaotembelea hapa JF.

Naomba mnisaidie kuorodhesha mambo ya maendeleo aliyotufanikisha Mh. Kagasheki kama Mbunge na si yeye kama yeye. Naomba watu nuweke kando kupenda kulikopitiliza ambako ni sawa na upofu na wala msiwe wepesi wa kuorodhesha madhaifu bali mazuri yaliyoonekana katika kutokea kwa mabaya.

Ombi la Pili naomba mtazamo wenu; Kati ya Mayor wa BK Municipality na Mbunge wa Bukoba Mjini nani Mwanamaendeleo wa kweli na mtekelezaji wa vitendo?

Naomba uzi huu usinajisiwe na matusi kwa Mayor wala Mbunge. Tutoe maoni au tuchangie katika mkondo chanya. Tunatakiwa kuijenga Bukoba kwa kasi na si kuzidisha nyufa za uharibifu.

cc: KAUDO, NAM, qq.com, Ericus Kimasha, mwanamwana, Mugizi, Muganyizi, figganigga, Mathias Byabato, koku, Rutashubanyuma, Kaa la Moto, rutta, Money stunna, Somoche, Bishanga, Ta Muganyizi, Ben Mugashe
 
mimi naona maendeleo yanaenda taratibu sana kutoka na mgawanyiko uliopo wa viongozi,sehemu nyingi barabara ni mbovu,kuhusu shule za kata siwez wasifu sana kwa sababu zipo nchi nzima,ulikuwa mpango wa serikali kuu,na zina changamoto nyingi,hazina waalimu wa kutosha na vitabu,mbunge na meya awajafanya la maana ambalo wanastahili pongezi,labda mkuu wa mkoa masawe ndio anastahili pongezi kwa kusimamia kile anachokiamin kwa vitendo,mfano usafi wa mazingira,na kutembelea wananchi,lakin mbunge na meya mwanzo walikuwa marafiki wazuri ata ikafikia hatua kagashek akatamka wazi wazi yeye ndio amempa uraia.
ugomvi wao mkubwa kwa namna nilivyofatilia toka kwa wadau wakubwa wa bukoba ni wa kimaslah,kwamba meya ana mkataba wa ujenz wa soko lakin ajauweka wazi.
kuna kipind watu wa meya walitaka kuchukua mchanga wa soko kuupima kwa ajili ya ujenz lakin kuna walinz waliwekwa kuwazuia,lakin walifanikiwa walichukua wa kujificha,mwanzo mbunge alimuunga mkono meya lakin sasa amemgeuka kwa sababu za kimaslah.meya yuko pale kufanya biashara,ana na kampun ya ujenz,viwanja ving vilivyopimwa yeye ndie alipata tenda ya kusawazisha viwanja,meya yuko pale kufanyabiashara na mbunge naye anataka dili kubwa wagawane.
hivo wote awastahili,wananchi mnaokaa bukoba,mchukue hatua
 
Mhhh! Kama hujui unachotaka si uache tu kwani lazima kuandika humu Jf? Kweli jasiri haachi asili! Yaani bado mnafikiria kikabila kabila siyo?
Jina lako halisadifu hekima ya ulichoandika hata kidogo........Ni wapi umesoma kumeandikwa Wahaya/Wanyakyusa/Wachagga? Walioitwa hapa ni wapigakura wa Bukoba Mjini ambao ni mchanganyiko wa makabila mbalimbali ya Tanzania. Mbona zikiandikwa hoja za JF Arusha wing, Dar wing, etc hatuiti huo ni ubaguzi wala ukabila? Ulitaka nasi tuitane kichit chat kujadili mapenzi? From today you will be sent to my ignore list
 
Mbunge Kagasheki kafungua kituo cha redio ili kutoa burudani na kueneza udini mana kituo cha redio yake hakina tofauti na redio Iman,pia anasaidia kutoa misaada midogo midogo kama kanga kwa akina mama,magari ya kwenda kuhiji,mashindano ya michezo nk.Pia kagasheki anafanya kila njia ili ukoo wake ushike nyadhifa mbali mbali CCM bukoba.

Mstahiki meya Aman ni mchapakazi na ana msimamo ndo maana Kagasheki na genge lake wanampiga vita ili asifanikiwe katika utekelezaji wake kikazi,Kagasheki anamwogopa meya maana 2015 patachimbika ubunge.
 
Kagasheki ameleta maendeleo kwa kufungua kituo cha redio Kasibante FM kwa kuwaburudisha wana BK, na Mayor ameleta maendeleo kwa kusimamia ujenzi wa soko jipya la Bukoba Mjini.....Tafakari
ile radio ipo kwa ajili ya kudidimiza demokrasia. haina tofauti na radio uhuru coz inatangaza mambo ya ccm tu. mfano kipindi cha kampeni. akiwepo kiongozi ambaye si wa ccm mitambo inakorofisha. yule meya atoke tu. bora hata lwakatare aliweka lami mjini. mia
 
Vema umeanzisha huu uzi!nilipanga kuandaa makala kwenye moja ay magazeti mchini kueleza haya lakini kwa siku si nyingi nitafafanua mbivu na mbichi.Watu wengi hawamjui vema KAGASHEKI na ANATORY AMAN (Meya) kila mmoja anao mchango wake na mapungufu yake lakini nitaelezea mazuri pekee kwa wote ili tuyapime...nkeep watching
 
Wana-JF Bukoba,

Naomba mnisaidie. Nimetafakari kwa kina juu ya mchango wa Mbunge wa Bukoba Mjini ili nipate jibu na kisha nichukue hatua ya ama kupongeza au kukosoa lakini kwa bahati mbaya kichwa kimeshindwa kuload muafaka! Nafsi imebishana na akili na vimeshindwa kufikia muafaka. Sasa nimeamua kuomba msaada kwa wapigakura wenzangu wa BK Town wanaotembelea hapa JF.

Naomba mnisaidie kuorodhesha mambo ya maendeleo aliyotufanikisha Mh. Kagasheki kama Mbunge na si yeye kama yeye. Naomba watu nuweke kando kupenda kulikopitiliza ambako ni sawa na upofu na wala msiwe wepesi wa kuorodhesha madhaifu bali mazuri yaliyoonekana katika kutokea kwa mabaya.

Ombi la Pili naomba mtazamo wenu; Kati ya Mayor wa BK Municipality na Mbunge wa Bukoba Mjini nani Mwanamaendeleo wa kweli na mtekelezaji wa vitendo?

Naomba uzi huu usinajisiwe na matusi kwa Mayor wala Mbunge. Tutoe maoni au tuchangie katika mkondo chanya. Tunatakiwa kuijenga Bukoba kwa kasi na si kuzidisha nyufa za uharibifu.

cc: KAUDO, NAM, qq.com, Ericus Kimasha, mwanamwana, Mugizi, Muganyizi, figganigga, Mathias Byabato, koku, Rutashubanyuma, Kaa la Moto, rutta, Money stunna, Somoche, Bishanga, Ta Muganyizi, Ben Mugashe

Asante Omutwale kwa kuliona hili...........kwa ufupi Bukoba inajiendesha kama ilivyokuwa hata bila ya kuwataja hawa akina Meya na Mbunge. Matokeo pekee ya Kimaendeleo tuliyotarajia kuyaona ndo hayo Kagasheki na wenzake wameyawekea ngumu. Basi.........hakuna ninachoweza kukuonesha kuwa kimefanyika physically labda iwe ni kwa mtu mmoja mmoja.
 
Wahaya bado safari ni ndefu ya ku-evolve na kuvunja hii cycle!

Jamaa linaleta basi la abiria Bkb to Kyampisi via Rukoma nauli sh. 2600, pungufu ya sh. 400 zinazotozwa na Kigusha Trans. Baada ya miezi miwili utamsikia anagombea ubunge, wazee na vijana utawasikia: tumchague ameleta 'maendeleo ya kale ka-basi kenye muziki na stereo!'
Hivi hadi zama hizi za dot com kuna mtu anaita redio maendeleo? Kasibante fm, chombo cha habari kwa maslahi ya Kagasheki na wapambe wake!

Wahaya tukiendelea hivi kudanganywa na akalita ko'rubisi n'ekibata kye'mbandule haikwepeki!

Acha nibaki huku omumaanga!
 
please give me a break!! Mtu kuanzisha redio nayo ni maendeleo??? Ukiwa na van unaweza kuanzisha TV ama redio au ukiwa na nyumba ina sebure na jiko unaanzisha redio na tv. Wote sioni wanalolifanya maana Bukoba haikupashwa kuwa hivi ki maendeleo. Angalia mji kama mwanza ulivyoendelea ina maana wabunge na madiwani wa kule wanatoka mbiguni?

Au halmashauri zao ni tofauti? Kagasheki na mwenzie Amani wanajuana maana nilimsikia akisema alimpatia uraia hivyo sishangai pengine jamaa hajamaliza deni lake ndio maana kila kukicha ni ugomvi tu. Nadhani Kagasheki amezeeka hana jipya kichwani na pia Amani haoni sababu maana si nchi yake. Na amewakuta madiwani ni njaa na shule hakuna hivyo anatumia nafasi hiyo kuiba atakavyo. Hivi mtu kujenga kwenye eneo la wazi wizara inakuwa wapi??? Ujinga umetawala.

BK ilipashwa iwe juu zaidi kimaendeleo kuliko mwz ama moshi maana tuko mpakani mwa nchi kadhaa hivyo tungejenga vitu kama shopping malls, mahoteli ya nguvu, viwanja vya mipira watu wangekuja kwa wingi toka nchi jirani lakini kutokana ufisadi wa ccm na akina Kagasheki ndio maana hata barabara za maana hakuna, nyumba zinabaki za miaka 200 iliyopita. Kazi kupiga kelele za kumwogopa Dr Slaa tu. Hatuna mbunge, madiwani, meya na wala kiongozi wa kitaifa nchi imekwisha.

Kilichobaki nikuwapiga chini wakalee familia zao ifikapo 2015. Kwa mara nyingine maendeleo si redio naishi ulaya naelewa ninachokisema. Kagasheki pumzika Amani rudi ukaijenge Uganda.

Ahsante sana wewe umenena vema.
 
Nduguyangu hapo umechemka nadhani kama kuanzisha redio yasingekuwa maendeleo hakuna ambaye angekuwa anajivunia sasa mfumo wa digital na dunia kuiita kijiji lakini pia redio inatumika kama ambavyo unasoma habari hii, anglau unapata kuwatambua watu hawa tunaowaona kama wafanyabiashara ndani ya maslahi ya wananchi.

Pili nadhani uwate radhi wanahabari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari kudhalilisha shughuli yao kwani kinachofanywa na redio au gazeti na hata kama ni blog ni kusambaza anglau elimu kwahiyo kuleta redio ni maendeleo labda cha kujadili hapa ni je redio hiyo watu wanaitumiaje? Huyu jamaa alianzisha akakabidhi watu waitumie vizuri tunapoongea tusipende kufurahisha jamii bwana.
 
Kama angekuwa muelewa si mshabiki asingepinga hoja ya mchangiaji kwasababu kilichoulizwa ni kitu gani kipo kwaajili ya wananchi, na je kinatumikaje?

Mi naona tukitaja mali zilizowekwa kusaidia wananchi tusisahau taa za barabarani manispaa nzima iliwekewa na Kagasheki japo msemaji hakuzitaja lakini pia masuala mengi huwezi kuyataja ukaweza, na waliowengi watasema yapo kwenye mipango ya serikali lakini ukitaka kujua kama taa zililetwa wakati Kagasheki hayupo kabisa kwenye siasa.

Ebu nawe tusaidie ya Meya Amani tuyachambue na ukisema soko si wazo la Meya kwani mwenyewe alitamka kuwa hoja ya kujenga soko ilianza mwaka 2008 kabla hajawa diwani sasa alipopata udiwani ang'ang'ania kuwa meya na baada ya kupata amedandia ili atafune fedha za watu.

Hawa wote mi siwakubali lakini mwenye anglau ni kagasheki na hata rwakatare anayetajwa kuchochea uwepo wa lami anamsifia kagasheki na anaungana naye so tuamini nini sasa?
 
Back
Top Bottom