Maendeleo na Elimu

Maendeleo na Elimu

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika.

Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu.

Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k.

Technology.
Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio akusaidie wewe hakuna mwanadamu karne hii yuko kukusaidia kwa kitu chake alichogundua ni faida mbele kwa mbele, kwahiyo wewe sio unaletewa unachekelea unaibiwa.

Mfano, vyungu vya kupikia chakula , vifaa vya kunywea maji n.k sisi tulikuwa navyo. Ukiacha (Asili never kujua siri)

Madawa...
Madawa yetu au miti yetu ndo hiyo hiyo wanafanyia manuva na kutuletea dawa zao . Hizo dawa zao ni dawa kwa muda mwisho zinakuwa sumu.

👉 Unene ni ugonjwa.
👉 Miaka 30 nyuma watu wamekula Sumu.

chanzo maendeleo na elimu maana ukiweka kila kitu wazi nadhani viwanda vitafungwa na watu watakosa kazi.

Usidharau nazi, embe ni tunda la Msimu.
 
Back
Top Bottom