Maendeleo: Hospitali ya Muhimbili haijapewa bajeti ya 2016/17 ya bil 4

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,886
Hayo yamesemwa mbele ya kamati ya Bunge iliyotembelea hospitalini hapo akiwemo naibu waziri wa afya dr Kigwangara na amekiri kuwa hari sio nzuri wawe wavumilivu.

Ikimbukwe imebaki miezi 3 tu kwa utekelezaji wa bajeti ya 2016/2017.

Hii inaonyesha ni maendeleo makubwa sana kwenye sekta ya afya nchini na kunaonyesha kukua kwa sekta ya afya na uchumi.
 
Habari za hivi "first citizen" hataki kusikia, huna uzalendo na nchi yako!
 
.....Ikimbukwe imebaki miezi 3 tu kwa utekelezaji wa bajeti ya 2016/2017....

Na hiyo ni hospital ambayo ni jicho la Taifa,je huko Wilayani na kule Dole,Mchambawima,Mwemberadu na Mwendomaringo?!

Na bado tunaambiwa makusanyo ya Tanzania Rarua Akome yanavuka lengo kila mwezi!!
 
Yeye ndiye asiye na uzalendo na nchi yetu ndiyo sababu credibility yake sasa hivi kwa Watanzania wanaojitambua ni ZERO.

Habari za hivi "first citizen" hataki kusikia, huna uzalendo na nchi yako!
 
Back
Top Bottom