Maendeleo hayana Chama, nini maana tafsiri yake?

Ni mwenye UFINYU wa akili tu anayeweza kuandika upuuzi kama huu. Dr Slaa Dr Slaa huyo ni MPUUZI mwingine aliyekubali kumpokea fisadi lowassa Chadema hadi alipotimuliwa na hawara yake ndiyo akili ikamkaa kichwani. Toa UZWAZWA wako hapa.
Una hoja wewe, Tundulisu ameshawavuruga vichwa.
Unakumbuka aliekua anamsindikiza Lowasa kwenye kampeni za 2015 ni nani?
 
Kuna kodi za Halmashauri na kodi za serikali kuu,
kodi za Halmashauri zinaenda kwenye Halmashauri husika inayoongozwa na Meya anaechaguliwa na madiwani wa Chama husika.
Ila kuhusu kodi ni somo lefu linalohitaji mjadala mwingine.
Kiufupi Unatetea mambo ya aibu. Wananchi wote wana haki ya kutatuliwa kero zao na kuboreshwa maisha yao bila kujali wamemchagua nani kuwa mbunge au diwani. Huwezi kusema wananchi wa eneo fulani wakose maji kisa tu mbunge wao ni chama fulani. Hivi Mbeya Mjini wanaonishi ni CHADEMA peke yao? Hamna wana CCM pia?

Kama ni vyanzo vya mapato, awamu hii imepoka vyanzo vingi vikubwa vya mapato kutoka kwenye serikali za mitaa. Haya maneno angeyasema Mwalimu Nyerere akiwa hai angeweza kuwarudishia kadi yenu
 
Una maana CHADEMA mnataka mchukue nchi ili mle keki ya nchi vizuri na wazungu?
hiyo ni hatari sana kwa wananchi masikini.
Tunataka ajira kwa watanzania wote, elimu ya manufaa na si elimu vidato, haki, uhuru na maendeleo ya watu na si kama nyie mnajivunia maebdeleo vitu kitu ambacho hata mwendawazimu ukimpa nchi anavifanya.

CCM imefeli kila idara toka nchi ipate uhuru mmeshindwa kuwatua ndoo akina mama kichwani. Mama zetu wanatembea kila siku km 16 kutafuta maji. Mungu anawaona aisee.
 
Ninyi Chadema kweli ni watu wakupuuzwa tu sababu hamjui mnachoongea ila ushabiki tu..!!!
Hivi unaweza kunitajia nchi yeyote Afrika au duniani iliyoweza kutoa ajira kwa wananchi wake wote?

Unasema kwamba CCM imefeli Idara zote je unaweza kuzitaja hizo Idara zote?
 
Kiufupi Unatetea mambo ya aibu. Wananchi wote wana haki ya kutatuliwa kero zao na kuboreshwa maisha yao bila kujali wamemchagua nani kuwa mbunge au diwani. Huwezi kusema wananchi wa eneo fulani wakose maji kisa tu mbunge wao ni chama fulani. Hivi Mbeya Mjini wanaonishi ni CHADEMA peke yao? Hamna wana CCM pia?

Kama ni vyanzo vya mapato, awamu hii imepoka vyanzo vingi vikubwa vya mapato kutoka kwenye serikali za mitaa. Haya maneno angeyasema Mwalimu Nyerere akiwa hai angeweza kuwarudishia kadi yenu
Mimi natetea maendeleo,
Ila wanaotetea mambo ya aibu ni Chadema sababu, Chadema wanatetea Ushoga, Kuibiwa madini yetu n.k

Magufuli ni mkweli na sio mnafiki na akiwaambia ukweli mnachukia.
Sasa wewe unachagua upinzani halafu unataka CCM akuletee maendeleo una akili kweli wewe?
Hiyo inaitwa dawa ya kiburi ni jeuri

Magufuli kawaambia kwamba atawaletea miradi ya Kitaifa na Kiwilaya, ila miradi ya kijimbo muwaulize wabunge wenu mliowachagua, kosa lake nini hapo?
 
Kutokuwa mnafiki haina maana uko sahihi, unaweza usiwe mnafiki na pia ukawa mjinga.

Anyways.... siku zinavyozidi kwenda, CCM inazidi kukataliwa. Ndio maana wameamua kutumia serikali kubaki madarakani. Hatua iliyobaki ni kuitoa CCM pamoja na Serikali yake.
 
Maendeleo yanapofanyika kwenye nchi yoyote, wananchi ndio hunufaika na hao wananchi ndio wana vyama. Ila inahitajika chama chenye ukweli, Uzalendo, uthabiti wa kupinga Rushwa na ufisadi kutimiza hayo. Sifa hizo wanazo CCM.
 
Upo sahihi kabisa,
tundulisu ni mtu mwenye chuki binafsi kwa Rais Magufuli,
Haiwezekani chuki binafsi za Tundulisu zikatufanya tumchukie Mh Raisi Magufuli anaetuletea maendeleo ya kweli
 
Pole kwa kuamini kila anayepinga CCM ni CHADEMA.

Sina tatizo na Magufuli, nina tatizo na mfumo mzima wa kipumbavu unaoruhusu mtu mmoja kugeuka mfalme. Na hata kesho CHADEMA wakileta ujinga huu pia tutawapinga
Haueleweki unataka nini, maana naona una rukaruka tu kama umekanyaga moto..!!
Hoja yako ninini hasa?
 
Haueleweki unataka nini, maana naona una rukaruka tu kama umekanyaga moto..!!
Hoja yako ninini hasa?
Inaoenekana huwezi kujadili ideas, unataka tujadili vituko.

Unapotetea ubaguzi wa maendeleo kisa wananchi wamechagua chama tofauti na chama cha Rais ndio tatizo linapoanzia. Hiyo ni idea isiyokubalika under any circumstances.

Kwenye proper countries, matumizi yanapangwa na Bunge ili kuondoa huu ujinga wa mtu mmoja kupigiwa magoti ndio maendeleo yaende.

Huwezi kuelewa, maana nyie ndio mnaamini kwenye urais wa kifalme.

Mind you, sijataja chama cha siasa. Tujadili ideas, sio mambo ya wagombea wanaokuja na kuondoka.
 
Ondoa shaka kabisa, huyo tundu atapigiwa kura nyingi na makamanda wengi anaowatetea kama mashoga, vibaraka, wezi, mafisadi, mabeberu n.k
Hahaha na Magufuli naye yumo?! Nilimsikia akiomba kusuguliwa na Sugu kule mbeya, na alipokuwa kawe alilia sana, nileteeeeni Gwajima, nileteeeeni Gwajima jamani, nileteeeeni Gwajima.
Halafu kidume kikasema kinaitwa Rashidi
 
Inaoenekana huwezi kujadili ideas, unataka tujadili vituko.

Unapotetea ubaguzi wa maendeleo kisa wananchi wamechagua chama tofauti na chama cha Rais ndio tatizo linapoanzia. Hiyo ni idea isiyokubalika under any circumstances.

Kwenye proper countries, matumizi yanapangwa na Bunge ili kuondoa huu ujinga wa mtu mmoja kupigiwa magoti ndio maendeleo yaende.

Huwezi kuelewa, maana nyie ndio mnaamini kwenye urais wa kifalme.

Mind you, sijataja chama cha siasa. Tujadili ideas, sio mambo ya wagombea wanaokuja na kuondoka.
Naweza kujadili aina zote za hoja, hoja nzuri na hata pumba kama unavyotaka,
Unajiona upo smart kumbe chenga tupu kichwani,
Nimekuelezea kwa kirefu kila aina ya miradi na utekelezaji wake unavyokua ila unaendelea kuandika uzushi,
Ndio maana nimekuuliza hoja yako nini?
 
Hauna hoja.... mambo unayotetea hayapo sahihi, ni ubaguzi tu.

Umeweka msingi wa utetezi eti ukipeleka maendeleo kwa wapinzani (ya kitaifa au kijimbo) unawapa political mileage wapinzani. Yaani uongozi ambao uko tayari kuona wananchi wanateseka kisa wametumia uhuru wao kufanya uchaguzi wa viongozi wanaowataka. Ni ushenzi tu, hakuna namna unaweza kufanya justification. Hizi kauli zimetolewa maeneo mengi sana yaliyo na wawakilishi wapinzani. Kama unaona hivyo ndivyo tunapaswa kuendesha nchi, baki na imani yako.
 
Tumekua tukimsikia mara nyingi Mh Rais Magufuli akisema maendeleo hayana Chama, Ila je ni wangapi wanaojua maana ya maneno hayo?

Niseme tu kwamba kuna watu wachache sana wanapotosha maneno hayo. "maendeleo hayana chama" anayopenda kuyatumia Mh Raisi Magufuli kwa makusudi au kwa kutokujua.

Maana ya maneno "maendeleo hayana Chama ni kwamba" hata kama wewe una mapenzi na Chama kingine tofauti na CCM ila maendeleo anayofanya Mh Rais Magufuli mfano miundombinu ya Usafiri kama Barabara, Madaraja, Meli, Ndege, Treni n.k watu wa vyama vyote watatumia.

Pia kuna miundombinu ya Afya aliyojenga Mh Rais Magufuli kama Hospitali, Zahanati n.k pia watatumia watu wa vyama vyote.

Miundombinu ya Elimu kama Mikopo ya vyuo vikuu, Elimu bure kwa Shule za Sekondari na Msingi n.k hivyo vyote wanafuika ni watu wa vyama vyote.

Nimejaribu kuandika kwa kifupi ili ieleweke.
Magufuli mitano tena (2020-2025)
Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli.

All people are equal but others are more equal than others
 
Hauna hoja.... mambo unayotetea hayapo sahihi, ni ubaguzi tu.

Umeweka msingi wa utetezi eti ukipeleka maendeleo kwa wapinzani (ya kitaifa au kijimbo) unawapa political mileage wapinzani. Yaani uongozi ambao uko tayari kuona wananchi wanateseka kisa wametumia uhuru wao kufanya uchaguzi wa viongozi wanaowataka. Ni ushenzi tu, hakuna namna unaweza kufanya justification. Hizi kauli zimetolewa maeneo mengi sana yaliyo na wawakilishi wapinzani. Kama unaona hivyo ndivyo tunapaswa kuendesha nchi, baki na imani yako.
Ubaguzi kaanzisha mtu kwa kuchagua upinzani halafu anataka CCM imletee maendeleo..!!

Nimesema hoja yangu ni kwamba serikali italeta miradi ya Kitaifa, Kiwilaya n.k ila miradi ya kijimbo mtapambana na mbunge na madiwani mliowachagua.
Unacho lalamika nini hasa?
 
Swali kwenye hii kauli yako

"maana yake hawezi kupeleka miradi ya kijimbo sababu kisiasa atakua anamnufaisha Chama kingine"

Je kodi inayolipwa na wananchi wa hapo inapekwa kwenye hicho chama kingine au serikalini?

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom