AKASINOZO
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 1,367
- 2,217
Umeelewa swali la mdau kwl au umejibu tuuWananchi watapata miradi ya kitaifa n.k
Ila miradi ya kijimbo ni ngumu sababu mara nyingi miradi ya kijimbo ni ya kisiasa zaidi

Unajikanyaga tu ukijaribu kuhalalisha contradicting statement. Mbona hujatoa mfano anaposema hawezi kupeleka maendeleo kwenye jimbo linaloongozwa na upinzani. Hapo pia maendeleo hayana chama??Tumekua tukimsikia mara nyingi Mh Rais Magufuli akisema maendeleo hayana Chama,
Ila je ni wangapi wanaojua maana ya maneno hayo?
niseme tu kwamba kuna watu wachache sana wanapotosha maneno hayo. "maendeleo hayana chama" anayopenda kuyatumia Mh Raisi Magufuli kwa makusudi au kwa kutokujua.
Maana ya maneno " maendeleo hayana Chama ni kwamba" hata kama wewe una mapenzi na Chama kingine tofauti na CCM ila maendeleo anayofanya Mh Raisi Magufuli mfano
Miundombinu ya Usafiri kama Barabara, Madaraja, Meli, Ndege, Treni n.k watu wa vyama vyote watatumia.
Pia kuna miundombinu ya Afya aliyojenga Mh Raisi Magufuli kama Hospitali, Zahanati n.k pia watatumia watu wa vyama vyote.
Miundombinu ya Elimu kama Mikopo ya vyuo vikuu, Elimu bure kwa Shule za Sekondari na Msingi n.k hivyo vyote wanafuika ni watu wa vyama vyote.
Nimejaribu kuandika kwa kifupi ili ieleweke.
Magufuli mitano tena (2020-2025)
Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli.
Stop!Tumekua tukimsikia mara nyingi Mh Rais Magufuli akisema maendeleo hayana Chama,

Nimefafanua vizuri kwamba kuna miradi ya Kitaifa, Kimkoa, Kijimbo, Kiwilaya n.kMfano kwenye jimbo unajua kuna asilimia ngapi ya wapiga kula ? Tuseme wote18+ wapige je wale ambao hakupiga kula tuseme watoto hao wanakosa gani la kutopelekewa Maendeleo
Mtu wa namna hiii si wa kutetea kabisa
Umekua mgumu sana kuelewa,Unajikanyaga tu ukijaribu kuhalalisha contradicting statement. Mbona hujatoa mfano anaposema hawezi kupeleka maendeleo kwenye jimbo linaloongozwa na upinzani. Hapo pia maendeleo hayana chama??
Rudia hilo swali ambalo haujaelewaUmeelewa swali la mdau kwl au umejibu tuu
Yes we have to Stop Tundulisu kimeo,Stop!
Waongo ni watu ambao wanachagua wabunge na madiwani wa upinzani halafu wanasubiri maendeleo toka CCM.Kuhusu maneno "nitawatumikia wananchi wote bila kujali dini zao, kabila zao, rangi zao na vyama vyao vya siasa" kumbe ni kauli ya uongo? Kama ni hivyo kwa nini unadhani tunapswa kuendelea kumchagua mtu anayetoa ahadi za uongo?
Leta data zinazo onesha maendeleo ya kijimbo kati majimbo yale ya upinzani na Chama tawala utaweza kunishawishi kuwa mbunge anakwamisha maendeleo au anapaishaUmekua mgumu sana kuelewa,
Nimekwambia kuna miradi ya Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kijimbo n.k
Hivyo chagua wewe unataka miradi ya aina gani unapopiga jura.
msimpe lawama Magufuli kuhusu kutekeleza miradi, huo ni msimamo wake
Tumekua tukimsikia mara nyingi Mh Rais Magufuli akisema maendeleo hayana Chama,
Ila je ni wangapi wanaojua maana ya maneno hayo?
niseme tu kwamba kuna watu wachache sana wanapotosha maneno hayo. "maendeleo hayana chama" anayopenda kuyatumia Mh Raisi Magufuli kwa makusudi au kwa kutokujua.
Maana ya maneno " maendeleo hayana Chama ni kwamba" hata kama wewe una mapenzi na Chama kingine tofauti na CCM ila maendeleo anayofanya Mh Raisi Magufuli mfano
Miundombinu ya Usafiri kama Barabara, Madaraja, Meli, Ndege, Treni n.k watu wa vyama vyote watatumia.
Pia kuna miundombinu ya Afya aliyojenga Mh Raisi Magufuli kama Hospitali, Zahanati n.k pia watatumia watu wa vyama vyote.
Miundombinu ya Elimu kama Mikopo ya vyuo vikuu, Elimu bure kwa Shule za Sekondari na Msingi n.k hivyo vyote wanafuika ni watu wa vyama vyote.
Nimejaribu kuandika kwa kifupi ili ieleweke.
Magufuli mitano tena (2020-2025)
Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli.
Unamaanisha CHADEMA kuna malaya?Haina maana yake ni ujinga mtupu. Maendeleo hayana chama halafu unatumia billions kununua malaya wa kisiasa toka upinzani!!!
Unamaanisha CHADEMA kuna malaya?
Jenga hoja yako vizuri
Niambie jimbo lako ili nikupe data,Leta data zinazo onesha maendeleo ya kijimbo kati majimbo yale ya upinzani na Chama tawala utaweza kunishawishi kuwa mbunge anakwamisha maendeleo au anapaisha
Chagua mwnywe majimbo
we una akili kweli wew??Asante kwa swali zuri
Maana yake ni kwamba katika Taifa kuna miradi ya aina tofauti.
1. Kuna miradi ya kitaifa
2. Kuna miradi ya kijimbo
3. Kuna miradi ya kiwilaya n.k
Sasa Raisi ana uwezo wa kusimamia moja kwa moja miradi ya kitaifa, kiwilaya n.k
Ila miradi ya kijimbo lazima mbunge na madiwani wahusike kupitisha hasa kwenye kwenye Halmashauri zenye Meya wa upinzani.
Hivyo Rais Magufuli anaposema mkichagua upinzani sileti maendeleo maana yake hawezi kupeleka miradi ya kijimbo sababu kisiasa atakua anamnufaisha Chama kingine pia katika kupitisha miradi ya kijimbo lazima mbunge na madiwani wahusike.
Ila kwa upande wa miradi ya kitaifa hawezi kubagua mikoa au Wilaya kupeleka maendeleo.
Kwani kodi kutoka majimbo haizendi mfuko mkuu wa hazina?Asante kwa swali zuri
Maana yake ni kwamba katika Taifa kuna miradi ya aina tofauti.
1. Kuna miradi ya kitaifa
2. Kuna miradi ya kijimbo
3. Kuna miradi ya kiwilaya n.k
Sasa Raisi ana uwezo wa kusimamia moja kwa moja miradi ya kitaifa, kiwilaya n.k
Ila miradi ya kijimbo lazima mbunge na madiwani wahusike kupitisha hasa kwenye kwenye Halmashauri zenye Meya wa upinzani.
Hivyo Rais Magufuli anaposema mkichagua upinzani sileti maendeleo maana yake hawezi kupeleka miradi ya kijimbo sababu kisiasa atakua anamnufaisha Chama kingine pia katika kupitisha miradi ya kijimbo lazima mbunge na madiwani wahusike.
Ila kwa upande wa miradi ya kitaifa hawezi kubagua mikoa au Wilaya kupeleka maendeleo.
Jenga hoja acha kurukaruka kama maharage motoni.Usinipangie cha kuandika kama hukuelewa hainihusu.
Jenga hoja acha kurukaruka kama maharage motoni.
Dr Slaa alishawaambia siasa ni sayansi, sasa ninyi Chadema mnaongea maneno matupu na kupotosha yote mazuri yanayofanywa na Magufuli.
Kuna kodi za Halmashauri na kodi za serikali kuu,Kwani kodi kutoka majimbo haizendi mfuko mkuu wa hazina?