Maembe ya Maalim MziziMkavu

Maembe ya Maalim MziziMkavu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
734590_515065378514259_298065096_n.jpg
 
dah! embe mviringo za tanga hizi.
basi ukute zile ambazo hazijaiva sana bado ngumu ngumu ueke na pilipili lol! yananoga sana.
 
dah! embe mviringo za tanga hizi.
basi ukute zile ambazo hazijaiva sana bado ngumu ngumu ueke na pilipili lol! yananoga sana.

lazima tu ulikuwa na ka "offspring" kana develope inside your tummy.
 
lazima tu ulikuwa na ka "offspring" kana develope inside your tummy.

hahahha! halafu kana kufanya usione aibu hata kama ni ubungo asbh utakula tu na mtu akikuomba unamwona ndo shetan wako.
 
huwa vinashika hadi celebelum inaacha kazi yake,hisia ndo zinatawala,reasoning inarudi ukishatoka labour

umeona enh!
ila inakupa raha sana manake kila ulifanyalo unaonekana ni haki yako. na huwaga tunaheshimiwa tukiwa hapo?? manake si benki wala si folen za magari ukitaka unapishwa fasta. hasa kama hii njia ya morogoro hii halafu uwe ni mjamzito huna haja ya kukaa folen wewe tanua tu ukipigwa mkono wakimwona mama v yuko na kinoli utaskia muwahishe hosp. hahahahh!
 
Back
Top Bottom